Kwanini magazeti ya Uhuru & Daily News hayaandiki habari za ya afya ya Lisu?

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Hii inaacha maswali wengi bila Majibu kwa sie wenye uelewa mdogo kuhusu nani alihusika tukio la kushambuliwa kwa Lisu. Naelewa vipanga walishafanya upembuzi na kujiridhisha kuhusu wakina nani walihusika ila kwa hii style ya magazeti haya...aisee....tunatia shaka sasa na sisi vilaza....kama unabisha angalia magazeti ya leo yote habari ni kuhusu kuimarika kwa afya yake kasoro hayo magazeti mawili tu...
 
Mimi sidhani kama haya magazeti yanaadhari katika AFYA YAKE HATA USTAWI WA DEMOKRASIA fanya ufuatiliaji kwa wauzaji wakup ukweli,
 
Hii inaacha maswali wengi bila Majibu kwa sie wenye uelewa mdogo kuhusu nani alihusika tukio la kushambuliwa kwa Lisu. Naelewa vipanga walishafanya upembuzi na kujiridhisha kuhusu wakina nani walihusika ila kwa hii style ya magazeti haya...aisee....tunatia shaka sasa na sisi vilaza....kama unabisha angalia magazeti ya leo yote habari ni kuhusu kuimarika kwa afya yake kasoro hayo magazeti mawili tu...

Who is Lisu as differentiated to Me and many others who are admitted in the hospital. CHADEMA Hamna mada. Mwananchi kila Siku page Namba moja anatembea kweli hii ndo habari ya kutushirikisha wananchi. So dumb
 
Afya yalisu inatuhusu nini!!
Lissu nani ktk taifa hili!
Watanzania wapo zaidi ya milioni 50
Lisu nani!!
Ficheni ujinga wenu
 
Back
Top Bottom