Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo...
Wakuu nawasalimu,nakuwatakia heri ya mwaka mpya wa 2018 panapo majaliwa!!
Likizo hii niliamua kwenda Iringa kupumzika,nilikuwa nina miaka zaidi ya 7 bila kufika mji wa Iringa.Mara zote nilipita...
Habari wakuu,
Leo baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa nimepata bahati ya kutembelea mkoa wa Dodoma. Siku ya leo nimepokelewa tofauti kidogo na nilivyozoea kupokelewa miaka mingine yote...
Miji ya nchi zilizoendelea ina polisi wa patrol za magari usiku. Mitaa ina kamera. Mitaa yao imepangika haina vichochoro na maficho. Watu wanafanya kazi usiku na kuchangamsha miji wakati wa usiku...
Moto ambao chanzo chake hakijajulikana asubuhi ya leo umeteketeza Hostel wanamokaa baadhi ya Wanachuo wa Chuo kikuu Tumaini Makumira.
Cha kumshukuru Mungu hakuna Vifo wala Majeruhi.
Ni upotevu wa...
HERI YA MWAKA MPYA
Tukubaliane watu wengi nikiwemo mimi huwa hatuna bajeti zinazotuongoza na matokeo yake tunatumia tunachopata na sio tulichopanga. Sasa ngoja leo tuone ni kwa kiasi gani...
Niwapongeze wanajf wote kwa kuingia mwaka mpya 2018. Pia niwape pole/hongera na kazi za kulijenga taifa.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu iliyonisukuma kuanzisha uzi huu. Katika safari...
NUKUU
“Ingawa zinazobadilika ni namba na si mazingira, lakini kubadilika kwa mwaka kunaweza kutumika kama alama ya kusahau yaliyopita na kuanza Mapya.”
Oprah Winfrey, Mtangazaji nguli wa kimataifa...
Gazeti la RAIA MWEMA lilifungiwa kwa muda wa siku 90. Kwa vile lilifungiwa September 29, 2017, kwa mujibu wa kuhesabu siku zilianza kuhesabiwa kesho yake, yaani kesho yake ikawa siku ya kwanza...
January 3, 2017 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetoa bei mpya elekezi za Mafuta ya Petrol, Diesel pamoja na mafuta ya Taa kwa Mwaka. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia...
Tujikumbushe maneno, sentensi na misemo iliyobamba 2017...Mimi naanza na hii.... Unaweza ongeza.
1. Mara Paaaap
2. Not to that extent
3.Chapa kazi
4. Expansion joint
5. Haijawahi mwacha mtu...
Watumishi 12 kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jana walitumia zaidi ya saa sita kumhoji Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe.
Kwanza watumishi hao...
Wakuu.
Natumai mu wazima wa afya.
Niko serious na jambo hili nimeamua kutake risk sihitaji ushauri wa kuniambia nibaki please NIMEAMUA KU TAKE RISK
---------------------------------------
Mimi ni...
Mahitaji ya punda yameongezeka marudufu katika soko la China ikizingatiwa kuwa nyama yake hutumiwa kama kitoweo na ngozi yake hutumika kutengeneza dawa ya asili ijulikanao kama ‘ejiao’ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.