Chiwa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 4,151
- 5,025
HERI YA MWAKA MPYA
Tukubaliane watu wengi nikiwemo mimi huwa hatuna bajeti zinazotuongoza na matokeo yake tunatumia tunachopata na sio tulichopanga. Sasa ngoja leo tuone ni kwa kiasi gani tukipanga inaweza kutusaidia kupambana na changamoto za maisha katika kipindi hiki.
ONYO TAARIFA HIZI NI ZA KUFUNDISHIA NA KUONYESHA UELEKEO NA KUIBUA CHANGAMOTO USIJARIBU NYUMBANI KWAKO KWA KUWA HAZIJATOLEWA NA SHIRIKA LA TAKWIMU TANZANIA
1. Tuelewe kuwa tunapofanya kazi au shughuli yoyote si kwa maslahi yetu binafsi ni kwa ajili ya familia nzima kwa wale waliooa wanaelewa wasiooa waanza kujipanga na kuelewa hili kwa hiyo mgawo huko hivi
a. 20% ya mshahara/posho ni kwa ajili ya nauli na simu ili uweze kwenda kazini na kurudi pia ule chakula cha mchana kwa hiyo kama unalipwa milioni familia inaweza kukubaliana 200,000 kwa gharama hizo.
b. 20% ni mshahara wako kwa kwenda kutafuta kipato, hii itajumuisha kunywa angalau bia mbili kwa siku na kuchoma nyama ya buku tatu kwa siku jumatatu-ijumaa pamoja na kuwasaidia marafiki na ndugu wa karibu wa juu kwa juu bila familia kujua kwakuwa hata wewe unamikopo ambayo familia hawajui. Fedha hii haitoshi kuhonga hata ukichanganya na hiyo hapo juu kwa kuwa ukiwa na mchepuko jipange kwa lunch ya buku 9000 -12,000 kwa siku na angalau umtoe mara mbili kwa wiki kwa nyama choma na bia mbili tatu na ukimwacha na 40,000/- kila wiki ya usafiri kabla hujachangia 200,000/- ya mdogo wake karudishwa ada shule.
c. 60% hii ni ya ndani lazima iende na ufike kwa ajili ya matumizi, fedha ya dharura, kuweka akiba (utake usitake mama lazima acheze KICOBA) na uwekezaji katika familia.
Nategemea hapa zaka itakuwa imeshalipwa sasa inalipwa wapi hili ni swala la imamni zaidi.
Kwa hiyo kwa mtu anayepata 1,000,000/- ndani anatakiwa isipungue lakin sita 600,000/-
2. Sasa ngoja tuone bajeti inaweza kukaaje kwa mtu mwenye mshahara wa net 1,000,000/- ambaye anaweza kuwa anaishi na mke watoto wawili na mdada wa kazi wakiwa wamepanga chumba sebure chumba (ok watu hawataki hii kiself chenye vyumba viwili na sebure).
Tukio
Gharama
Muda
jumla
Kodi ya nyumba
200,000
12
2,400,000/-
Bill ya umeme
40,000
12
480,000/-
Bill ya maji
12,000
12
144,000/-
Gas
20,000
12
240,000/-
Tv
6000
12
72,000/-
Chakula
12,000x30
12
4,320,000/-
Usafiri kwa familia
6000x30
12
2,160,000/-
Gharama za kijamii
10,000
12
120,000/-
Msaidizi wa ndani
50,000
12
600,000/-
Gharama zingine
15000
12
180,000/-
Jumla yagharama za lazima
10,716,000/-
jeduali 1 gharama za moja kwa moja za familia.
Mahitaji mengine muhimu
Ada za watoto
2
1,200,000/-
2,400,000/-
Matibabu ya dharura
2
150,000/-
300,000/-
Gharama zingine
1
300,000/-
300,000/-
Jumla
3,000,000/-
Gharama za marafiki,ndugu na kijamii
Wageni
5
4
6,000/-
120,000/-
Michango ya harusi na dharura
4
1
150,000/-
600,000/-
Safari za kifamilia
4
2
200,000/-
1,600,000/-
Misaada
5
1
50,000/-
250,000/-
2,570,000/-
Ununuzi wa thamani na matengenezo
shamba
1
3,000,000/-
3,000,000/-
Thamani za ndani
2
300,000/-
600,000/-
Matengenezo
4
50,000/-
200,000/-
jumla
3,800,000/-
Summary
Gharama za lazima
10,716,000/-
53%
Mahitaji mengine muhimu
3,000,000/-
15%
Gharama za marafiki,ndugu na kijamii
2,570,000/-
13%
Ununuzi wa thamani na matengenezo
3,800,000/-
19%
jumla
20,086,000/-
100%
Imefadhiliwa na
Mshahara
7,200,000/-
36%
Biashara ya familia
7,200,000/-
36%
Mikopo
4,000,000/-
20%
Misada
1,686,000/-
8%