Kipindi cha BBC cha asubuhi kuendela na mijadala ya mada muhimu ya nchini, kulikoni?

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo taarifa hazitolewi kama ilivyokuwa zamani isipokuwa wanaendelea na mijadala ya mada muhimu za hapa nchini. Mimi ni mpenzi sana wa BBC ninauliza kulikoni?.
 
Mimi nafikiri wanataka wamalizie program yao maana walianza kuzungumzia mada zilizotikisa nchi zote za East Africa na Leo walikua wanazungumzia nchi ya Uganda so soon wakimaliza naamini watarejea ktk utaratibu wao
 
Nilikuwa naipenda BBC ilipokuwa inatangaza kutoka London, tangu walipohamia Nairobi imepoteza ule mvuto wake. Kila nikifungulia asubui unamkuta yule dada Regina ndo anaongea, nadhani wangefanya tu kubadili jina waite hiyo program AMKA NA REGINA MZIWONDER.
 
Hapana si kweli kwamba BBC sasa ipo Nairobi Kenya. Ukweli ni kwamba BBC ipo Dar es Salaam Tanzania. Na huyo Regina, Arnold na wengine ni watangazaji ambao ni Watanzania wenzetu.
 
Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo taarifa hazitolewi kama ilivyokuwa zamani isipokuwa wanaendelea na mijadala ya mada muhimu za hapa nchini. Mimi ni mpenzi sana wa BBC ninauliza kulikoni?.

Wanachofanya ni kutangaza matukio yaliyotikisa kwa mwaka 2017 katika nchi za afrika mashariki na kati, sina hakika kama wanatangaza za Tanzania tu, leo wametangaza matukio yaliyotokea uganda, (kumbe wabunge wa uganda wa upinzani mwaka jana walichezea kichapo cha jeshi, sikuwa najua) na jana ilikuwa ni habari za DRC
 
Ni kweli walichezea kichapo baada ya kugomea mpango wa M7 kujirefushia ukazi wake wa ikulu!
 
Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo taarifa hazitolewi kama ilivyokuwa zamani isipokuwa wanaendelea na mijadala ya mada muhimu za hapa nchini. Mimi ni mpenzi sana wa BBC ninauliza kulikoni?.
wewe ulitakaje mkuu? mbona unawashwa washwa sasa.kaa unyolewe
 
Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo taarifa hazitolewi kama ilivyokuwa zamani isipokuwa wanaendelea na mijadala ya mada muhimu za hapa nchini. Mimi ni mpenzi sana wa BBC ninauliza kulikoni?.
Nijuavyo,huwa wanapofunga mwaka,hufanya tathmini kwa nchi zote za EA,kwa hiyo huchambua mambo mbalimbali kwa kila nchi. Na kwa BBC,Kenya na Tanzania hushika asilimia kubwa ya habari za EA
 
Back
Top Bottom