General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,868
- 2,200
Binafsi sijui lakini naomba kujuzwa tu utofauti wa mishahara kati ya mbunge na mkuu wa mkoa nani anamzidi mwenzie kiwango?
Mi hata najua basiKabla sijakujibu naomba nijue kwanza mshahara wa mbunge na mkuu wa mkoa ni shilingi ngapi kila mmoja..!
Kwannmakonda atakuwa anawazidi wenzie