DeadPanda gari za magazeti babu! Acha uwoga kifo kinaweza kuja ukiwa usingizini
OTA high class. Hawana mashindano
Mbona sijaona bus lenye kukimbia kupita kiac yanayoenda Kgm.
Umbali DAR-KGM via itigi tabora ni km.1258 Kwa mwendo unaufikiria wewe yaani 50km/hr itakuchukua masaa 25.16 kufika bila kusimama mahala popote.Habari zenu wakuu,
Nataka bus linalotembea kama kinyonga from Dar to Kigoma. Msaada wenu plz.
Nashukuru