Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
Habari wakuu,
Leo baada ya mwaka mmoja na miezi kadhaa nimepata bahati ya kutembelea mkoa wa Dodoma. Siku ya leo nimepokelewa tofauti kidogo na nilivyozoea kupokelewa miaka mingine yote niliyotembelea Dodoma. Miaka mitano yote niliyokaa Dodoma 2011-2016 nilizoea kila nikija Dodoma napikelewa na Dodoma ile ya jangwa lisilo na maendeleo yan mji usiokuwa miaka nenda miaka rudi lakini leo nimekuta mambo tofauti kidogo.
Leo ilikuwa kidogo nipotee ninapokwenda kutona na kulivyojengeka kwa kasi hongera magufuli na serikali yenu soon tutapata jiji la sita.
Nimefurahishwa sana na upanuzi wa uwanja wa ndege ukarabati wa barabara na ujenzi wa jengo la nssf dodoma kweli Dodoma inogile majengo na nyumba zinaporomoshwa kwa kasi kweli tunaona manufaa ya uamuzi wako wa busara mh rais magufuli wa kuhamia Dodoma