Je ikitokea watu hawa wawili wakashindwa kutimiza masharti au matarajio ya kutolewa nje ya kifungo cha maisha wanaweza kuridishwa jela na kuendelea kusota?
Bila Shaka Rais kuamua kuwasamehe kwa...
Nmepita kwenye fb page ya BBC nikakuta hiki kichwa cha habari.
Nimesoma mawazo ya wachangiaji,wengi wameichukulia BBC kama wachochezi na wanataka kuvuruga amani ya nchi.
Kwa jicho la kigreat...
Kwa nini baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii inaruhu fao la kujitoa na baadhi ya mifuko
hairuhusu kabisa. KIMSINGI hili jambo linaumiza maana mpaka ufike 55 (iwapo sasahivi una 25-35)yrs hiyo...
Miaka ile baada ya uhuru, nyumba zilizoachwa na wazungu nyingi zilikuwa na furniture zote za ndani.
Nyumba nyingine zilikuwa mpaka na tea set, dinner set bila kusahau cutlery. Wazee wengi...
Wakuu nipo natafakari hapa leo nataka usiku wa saa sita nishuhudie zile fataki kila pembe ya jiji.
Naombeni location nzuri kama kwenye ghorofa hivi lolote refu niweze kuona jiji zima kwa uzuri...
Kuna jirani yangu amekuja leo kwangu anaazima gari awapeleke jamaa zake kutoka sehemu moja kwenda nyingine.Jirani mwenyewe japo namfahamu kwa sura lakini hata jina lake silifahamu kwa sababu si...
Kagera. Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imewahukumu kifungo cha maisha jela washitakiwa watatu baada ya kuwatia hatiani kwa kuchoma Kanisa la EAGT mwaka 2015.
Hukumu imetolewa leo Jumanne Januari...
Aidha waajiri waliowasilisha madeni ya watumishi wao ambao ni wanufaika,pia kukabiliana na mkono wa sheria.
Hayo ni kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya...
Kauli chafu zinazodaiwa kutolewa na baadhi ya watumishi Wa Kituo cha Afya Afya Mrijo zimechangia wengi wao kwenda hosp ya Wilaya ya Kiteto
Kitengo kinacholalamimiwa ni cha Afya mama na mtoto...
MAPATO YA KOROSHO YAFIKIA TRILIONI 1.08 HADI SASA
MAPATO kutokana na mauzo ya korosho katika msimu wa 2017/2018 katika mikoa minne ya Lindi, Mtwara, Pwani na Ruvuma yamepanda na kufikia sh...
Walimu wa shule ya msingi Mbae yenye wanafunzi 513 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani wanalazimika kutumia vivuli ya miti ya mikorosho kama ofisi hali inayoathiri utendaji wao wa kazi hasa...
Inaitwa shule ya msingi Kamlenga, ipo kata ya Sibwesa kijiji cha Sibwesa huko Mpanda Katavi, ina wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili wanaofikia takribani 230 na mwalimu mmoja.
Kila mzazi...
Ikiwa sitorudi tena nyumbani, na mwanangu mdogo anaenipenda sana akiniulizia, mwambieni baba ametangulia mbele ya haki, tutaonana siku ya hukumu " akiuliza Mbona sikumuaga, mwambieni" ukiishi...
Kama unavyofahamu shule za serikali hazitoshelezi mahitaji mzee baba tuliahidiwa ada elekezi lakini naona kimya baba huku vyuma vimekaza anzia kutia grisi hapo baba
Watu wengi kwa sasa hutunza pesa zao kwenye M-PESA, TIGO-PESA na kadhalika na kuifanya kama ndio benki (ingawa hakuna interest). Ni vema kwa kuwa unapotaka malipo ya haraka haraka au kumtumia mtu...
Wapendwa, tuko 2018 ikiwa bado miezi 20 tu kuingia kwny uchaguzi mkuu.Hebu tuambie humu Leo je mbunge wako kasaidia jambo gani lenye manufaa katika Kata yako?
Je asogeza jambo gani mbele ya meza...
Ukimwambia Bakhressa kuwa #mihogo ni biashara nzuri atakuita board room muongee vizuri apate kujua vizuri lakini ukimfata msomi mwenye labda masters ya biashara ukamwambia kitu kile kile anaweza...
Habari wana Bodi.Mimi ni mkazi wa Arusha na ninatafuta Soko la RUBY.Its a pure Ruby na ya kiwango kikubwa
iko kwenye mfafanuo kama ifuatavyo;
Block 100 kgs
Kapishon 20 kgs
Sociate 20 tonnes...
Kipindi cha BBC huwa kinaanza tangu saa kumi na mbili (12.00) asubuhi mpaka saa kumi na mbili na nusu (12.30) kikitoa taarifa mbalimbali kutoka duniani kote lakini kwa siku za karibuni hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.