Licha ya idadi ya wateja waliounganishwa kwenye mitandao ya majitaka katika miji mikuu kuongezeka, ni asilimia 20 tu ya wananchi katika miji hiyo wanafikiwa na huduma hiyo nchini na kuwaweka...
Abubakari Hamisi (40), dereva wa basi na mkazi wa Ujiji ambaye anatuhumiwa kwa kugonga Hiace na kusababisha vifo vya watu 7 na majeruhi 11, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Nimekuja kujifunza kitu hapa Duniani kwamba ,,timing is everything” na maisha yetu yote yamezunguka hapo.
Kwa mfano mtoto akizaliwa kuna muda ambao ni lazima ajifunze lugha na akipita huo muda...
Sheria ya kazi ikibana kuwa kila mfanyakazi wa nyumbani ni lazima alipwe 350000. Waandikishwe kwenye mfuko wa pensheni, wawe na BIMA ya afya.
Pamoja na hayo wapate siku mbili za mapumziko...
Luka Mlango 2
1 Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu.
2 Orodha hii ndiyo ya kwanza iliyoandikwa hapo Kirenio alipokuwa liwali...
Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) umebaini kuwa uchezaji wa michezo ya video (video games) kwa muda mrefu, unachangia magonjwa ya akili. WHO imeongeza ugonjwa huo wa kujilevya na michezo ya...
MAPACHA walioungana, Maria na Consolata wanatarajia kuhamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu zaidi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Muhimbili Hospital.
Akizungumzia...
Katika kero mpya inayoendelea kwa sasa Arusha basi ni uwepo mkubwa wa trafiki barabarani. Kwenye hii barabara ya Arusha to Moshi.
Kila baada ya mita 300 unakutana na kundi la Trafiki, mbaya zaidi...
Mtu mmoja anayesadikiwa ni jambazi ameuawa kwa risasi usiku wa kuamkia leo wakati akijiandaa kuwashambulia askari waliokuwa wakifanya msako wa kukamata wahalifu mjini Shinyanga na wengine 4...
Mie wa kwanza ni
waziri wa Elimu ,
aongeze masomo ya biashara ,kilimo na computer
pia aongeze masomo watoto wa secondary wawe na varieties,mfano masomo kama accounting,electonics,environmental...
Katika ulimwengu wa kiroho kuna
laana na baraka ambapo vyote baadae huonekana/hudhihirika ktk ulimwengu wa kimwili/machoni.
Laana inaweza kutoka kwa MUNGU pamoja na baraka pia (biblia:torati 28)...
Wanakuja na sababu nyiiingi mara sijui kilimo kwanza, utasikia hatuihitaji, wengi wao nimekuja kugundua hawaishi TZ, wanaishi nchi za watu huko na huko waliko wanatumia kila siku treni za umeme na...
Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, alisema kutokana na hali hiyo, polisi walilazimika kufyatua risasi hewani ili kuwatisha lakini bado waliendelea kutotii amri ndipo wakapiga...
Baada ya Bombadia yetu kutiwa nguvuni nchini Canada na serikali kudai itawasili siku si nyingi ile mwaka Jana 2017
Cha ajabu mwaka ushaisha hakuna cha ndege wala pangaboi wala bombadia...
Facebook inafuta account za watu kutokana na amri ya USA na Israel,Account nyingi za wapelestina na watu wengine wakiwemo watu weusi (Wafrika) zinafutwa kutokana na matakwa ya Wamerekani na...
Haya mambo yasipokua regulated vzr yataleta madhara baadae. Kubet na kamari. Kila kichochoro cha Dar utakuta kibanda cha kamari au kubeti. Bodaboda nao wasipoangaliwa.
Hii tabia yao ya...
Sheria katika maeneo husika inaruhusu ujenzi wa majengo ya ghorofa pekee.
Moshi. Maofisa mipango miji na askari wa Manispaa ya Moshi wameanza kusimamia ubomoaji wa majengo ya biashara...
Moja ya mitandao iliyokuwa inakuja kwa kasi kwa kutoa huduma safi na stahiki ni halotel ila kwa siku za karibuni hata siwaelewi.
Mosi: Kifurushi cha data cha 500 kimeshuka kutoka MB 600 mpaka mb...
Wakuu huu utaratibu naona hautufai kabisa, kutumia vyoo vya kukaa sehemu za public kama mashuleni na mavyuoni. Haya mambo ya wazungu na yana utaratibu wake, kwanini viwekwe kila sehemu bila kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.