Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii imetokea arusha baada ya mbwa kupatwa na mizuka ya kusherehekea mwaka mpya siku ya mkesha akajikuta kapotea,ila alipatikana baada ya wasamalia wema kumuona na kuwasiliana na mmiliki aliyekua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wawili wamelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiuguza majeraha ya risasi walizopigwa na polisi wakidaiwa kukaidi amri walipotakiwa kusimamisha gari walilokuwa wakiendesha...
9 Reactions
179 Replies
16K Views
Habari za wakati wakuu? Naomba msaada wa taarifa kamili kuhusu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya tarangile kwa siku moja.nipo mkoani singida hivyo basi ningependa wikiend hii nifanye...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nataka kuanzisha metal works workshop na garage ya magari.Naombeni mwenye idea na hii kazi anijulishe workshop hall ninayo tayari, pia nahitaji tire changer, lifter tonne 3.2 wheel alignment...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hatari yake ni kwamba hapa Luna muunganiko wa reli sasa traffic man/ women anaevuta magari anayaacha sana magari ya foleni hiyo kulinganisha na yale ya Pugu road. Hatari ya pili Pale Tazara ktk...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Mara nyingi nimekuwa nikiona matamko na mijadala ikizungumzia kuhusu ukomo wa imani na haki za binadamu katika masuala ya siasa. Nimekuwa nikiona viongozi wa kidunia ama...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Nimeona kwa jirani yangu. Ni mtu mstaarabu, sijawahi ona akimgombeza house girl lakini kila baada ya miezi mitatu huwa wanaondoka. Kama maisha ya nyumbani kwako magumu, menyu mbovu, nyumba...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza nimekutana na mjane mmoja ambaye kanisimulia juu ya dhuluma na udhalimu anaotendewa na so called "wasimamia sheria". Huyu mama ana kesi ya madai ambapo mshitakiwa amekiri...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Waganga wa kienyeji ni wataalamu wa tiba za asili. Tiba za asili ndiyo asili ya tiba zote tunazozijua hapa duniani. Mataifa yote ama wanazo tiba za asili ama wamepitia huko. Utaalamu wa tiba za...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
HISTORIA ya Zanzibar kwa kiasi kikubwa imehusishwa na biashara ya utumwa. Bahati mbaya ni kwamba wengi wa waandishi wa historia hiyo wameunasibisha utumwa na Uislamu. Katika makala hii mwandishi...
1 Reactions
20 Replies
12K Views
Wakati tingatinga likiwasili kwa ajili ya kuvunja nyumba za ibada, Imamu wa Msikiti wa Matangini eneo la Kimara, Ramadhan Juma amesema ni mwiko kwa msikiti kuvunjwa. Wakala wa Barabara Tanzania...
11 Reactions
318 Replies
39K Views
Dear JF Members You can read it for yourself! *NAPE MOSES NNAUYE, UFANYE ULIMI WAKO KUWA KIUNGO CHA KUJENGA MSHIKAMANO KATIKA CHAMA NA SERIKALI* *Na Mkweru Zakaria Maswale* *Mtama, lindi*...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Vijana wengi wako mitaani na majumbani, wengine wamemaliza vyuo kazi hakuna, wengine hawakupata bahati ya kupata elimu za juu ila wote hao wana uwezo mkubwa na idea nyingi nzuri za kuleta...
0 Reactions
8 Replies
921 Views
Kuna utapeli mwingi saana kwenye simu, kuna Watanzania tunaibiwa kila dakika lakini TCRA wako kimya. Hii faini ya hizi Media mngewashika Tigo au Vodacom mngewasaidia Sana Watanzania! Unapeleka...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Katka uchambuz niliofanya nmegundua hawa kina messi,cristiano ambao wanasumbua miaka hii wana ubora maridhawa kuliko kina pele na maradona etc..sabab mpira huu wa miaka hii ni wa vipaj na shule,ni...
0 Reactions
1 Replies
572 Views
Naiomba serikali yangu tukufu kuanza kukusanya mapato katika mageti mawili yaliyojengwa barabara kuu ya Morogoro Iringa katika mbuga ya wanyama pori ya Mikumi. Kumekuwa na double standards kwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba nieleweshwe vizuri juu ya hili suala , Mrisho Gambo alimjibu Askofu Kakobe kama nani katika nchi?na je ni moja ya majukumu yake?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naangalia kituo cha ITV saivi, eti habari ya kwanza ni ya kina babu seya kwenda ikulu. Hiyo habari ina maana gani kwa watanzania zaidi ya kuwaumiza wale watoto waliotendewa vitendo vile na ndugu...
2 Reactions
4 Replies
809 Views
Serikali inatarajia kutoa leseni kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi vigezo vya ubora wa kutoa huduma za afya ili mwananchi wajue kituo atakachoenda kina ubora gani wa huduma...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hongera sana TRA. Sasa wafanyabiashara wadogo wanaolipa kwa "presumptive scheme" makadirio yao ya kodi yatakuwa siku 90 baada ya usajili. Tofauti na sasa ambapo yanakuwa kwa vipindi vya robo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom