General Galadudu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2015
- 1,837
- 2,119
Inaitwa shule ya msingi Kamlenga, ipo kata ya Sibwesa kijiji cha Sibwesa huko Mpanda Katavi, ina wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili wanaofikia takribani 230 na mwalimu mmoja.
Kila mzazi hulazimika kuchanga sh 1000 kwa mwezi kwa kila mwanafunzi ili ipatikane pesa ya mshahara/posho ya mwalimu.
Huyu ndio anafanya kazi kwa wito.
Kila mzazi hulazimika kuchanga sh 1000 kwa mwezi kwa kila mwanafunzi ili ipatikane pesa ya mshahara/posho ya mwalimu.
Huyu ndio anafanya kazi kwa wito.