JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Kauli chafu zinazodaiwa kutolewa na baadhi ya watumishi Wa Kituo cha Afya Afya Mrijo zimechangia wengi wao kwenda hosp ya Wilaya ya Kiteto
Kitengo kinacholalamimiwa ni cha Afya mama na mtoto ambako akinamama wanadai wanatukanwa na manesi kudaiwa waache kuzaa wamezeeka
Hili halifurahishi kusikia ila kila mmoja wetu alaani kusikia kauli hizi ambazo hazina Afya kwa ustawi qa maisha ya watu..