Fao la kujitoa mifuko ya hifadhi ya jamii

Fao la kujitoa mifuko ya hifadhi ya jamii

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Kwa nini baadhi ya mifuko ya hifadhi ya jamii inaruhu fao la kujitoa na baadhi ya mifuko
hairuhusu kabisa. KIMSINGI hili jambo linaumiza maana mpaka ufike 55 (iwapo sasahivi una 25-35)yrs hiyo pesa unadai haitakuwa na thamani hiyo.
 
Toa mfano ili tujue upi unaruhusu na upi hauruhusu
 
Wameshindwa kusema kuwa wamepora hela zetu ndiyo maana wanatumia kigezo cha kufikisha miaka 55
 
Wameshindwa kusema kuwa wamepora hela zetu ndiyo maana wanatumia kigezo cha kufikisha miaka 55
Ukienda PSPF unaambiwa hakuna fao la kujitoa,ukienda NSSF unaprocess unaambiwa baada ya miezi 6 utapata.
 
Back
Top Bottom