Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefuatilia ripoti yake naona hajatuambia nan aliyetoa amri ya kuua WATANGANYIKA ila ametoa visababishi vya uchaguzi TU Eti anasema wale waliokatwa wakat wa mchakato wa NDANI wa uchaguzi ndio...
3 Reactions
5 Replies
173 Views
Wazee wenzangu ambao watoto wetu wakiume wanavaa heren,wanasuka,wametoboa pua na kuvaa vipin puani,wanavaa tshirts za kike na wengine tunajua kabisa kua vijana wetu wanaliwa na wanaume wenzao je...
1 Reactions
3 Replies
110 Views
Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa...
7 Reactions
21 Replies
750 Views
Jana nilileta uzi hapa kuhusu huyu bwana aachane na ligi baada ya siku nne nyuma gari lake moja kupata ajali mbaya Morogoro, juzi tu nikashauri arudi njia kuu madereva watamfilisi ila nikaonekana...
6 Reactions
16 Replies
493 Views
Taarifa ya kushikikiwa kwa Mwandishi Aliyce Nyanda Nimepokea simu nyingi toka kwa waandishi mbalimbali juu ya kutaka kujua kama mwenzetu Mwandishi Aloyce Nyanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi...
8 Reactions
31 Replies
6K Views
Yani kazi yao ni ngoja waje,ngoja wanyoshane kidogo,mwingine kila coment ni kuandika tu aisee wengine ni likes hakuna cha kuandika komenti wala threads, wengine unamkuta ameandika vidoti ...
1 Reactions
3 Replies
97 Views
Wakati baadhi ya mataifa ya Kiislamu yakionekana kushirikiana na Marekani dhidi ya utawala wa Kiislamu wa Iran, ni Papa wa Kanisa Katoliki ambaye amesimama wazi kupinga matumizi ya nguvu na...
11 Reactions
39 Replies
819 Views
Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na...
1 Reactions
5 Replies
436 Views
Habari Wanajukwaa, Ikiwa labda kwako haikuwezekana lakini ukiwa kama experienced person naamini kuna mengi umejifunza na kuna sehemu ushajua kwamba ulikosea, kwa mbinu zip na mikakat ipi...
28 Reactions
357 Replies
25K Views
Ikiwa kila kitu kwenye ubungo kipo normal lakin kuna kasoro hiyo. SUBDURAL HAEMATOMA 0.9CM (Mgonjw alipata ajar 25 March akaanz ubwa kichwa 15/April na kupma 20 april na mamumi yaakanz kushuka...
0 Reactions
8 Replies
127 Views
Na Mwandishi Wetu. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Wanu Hafidh Ameir, ameihimiza Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
Naombeni connection ili nipate kuingia kwenye kikosi cha kusifu mitandaoni. Nilisikia mshahara ni 7k kwa siku, hii ni hela kubwa sana nami nataka kuingia kwenye kikosi hiki kwabababu nina uwezo...
4 Reactions
14 Replies
398 Views
Logic ndio kitu hamna. Mnabebeka na mihemuko ya kiitikadi na matango pori mnayorishwa kwenye vijiwe vya gahawa na aljazeera Kama unaweza kusema uzayuni ndio sababu kuu ya mitafaruku duniani huku...
0 Reactions
10 Replies
139 Views
Je, hisia ni nini? Mara nyingi utasikia mtu akisema baada ya jambo kutokea Nilihisi tu itakuwa hivi au Kabla hii issue haijatokea, nilihisi kuna kitu hakipo sawa Maneno haya hujitokeza mara...
9 Reactions
69 Replies
924 Views
WAKAZI zaidi ya 600 wa Dar es Salaam wamepewa siku 14 kulipa madeni ya pango la ardhi ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria.Kamishna Msaidizi wa Wizara ya Ardhi Mkoa huo, Shukrani Kyando...
0 Reactions
1 Replies
110 Views
Kusamehe ni njia ya kutibu moyo wako. Katika maisha kila binadamu ana mapungufu yake hivyo kuruhusu kuwasamehe kunakupa nafasi ya kuponya yale yaliyokuumiza. Muda mwengine mwachie Mungu yenye...
2 Reactions
1 Replies
131 Views
Sasa najiuliza maswali haya 1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena? 2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini? 3.Naponunua...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mitaa ya DSM na viunga vyake leo tangu asubuhi imekuwa tofauti na siku zote Kuna magari mengi ya police yanayozunguka mitaani yakiwa yamesheheni maaskari wenye silaha na vitendea kazi vingine...
10 Reactions
23 Replies
586 Views
Back
Top Bottom