Subdural haematoma 0.9cm

Subdural haematoma 0.9cm

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,761
Reaction score
8,405
Ikiwa kila kitu kwenye ubungo kipo normal lakin kuna kasoro hiyo.

SUBDURAL HAEMATOMA 0.9CM

(Mgonjw alipata ajar 25 March akaanz ubwa kichwa 15/April na kupma 20 april na mamumi yaakanz kushuka tarehe 21 April, ameambiwa panawez pona bila operation)

Hello wale walio wakumbana hii changamoto pekee ndani ya ubungo walimeza kuimaliza bila operation, walizingatia vtu gani au walipewa muongozo katika hospital gani kwa hapa Jiji Dar es salaam

Naomba majibu ya watu waliokuwa karbu na mgonjw, sio alie kwambia nae kaambiwa thanks kwa ushirikiano
 
Poleni. Mkuu thread yako ina makosa ya kiuandishi, haieleweki vizuri. Kwa kiwango nilichoelewa nina ushauri huu. Mgonjwa wenu achukulie seriuous hiyo condition.

Kuna jamaa yetu aliwahi kupata ajali, akaumia kichwani. Hakufanyiwa vipimo vya kutosha na yeye kwa vile hakuwa anajisikia maumivu akaendelea na shughuli zake kama kawaida.

Fast foward, baada ya mwaka, akaanza kusikia maumivu makali ya kichwa, kwenda hospital hakukaa sana akafariki.

Hivyo basi mgonjwa wenu jaribuni kupata ushauri wa kitaalamu kwenye hospital kubwa eg Muhimbili, na napendekeza mpata ushauri kutoka kwa ma dr tofauti tofauti. Kama mna uwezo aande sehemu kama Nairobi au India.
 
Poleni. Mkuu thread yako ina makosa ya kiuandishi, haieleweki vizuri. Kwa kiwango nilichoelewa nina ushauri huu. Mgonjwa wenu achukulie seriuous hiyo condition. Kuna jamaa yetu aliwahi kupata ajali, akaumia kichwani. Hakufanyiwa vipimo vya kutosha na yeye kwa vile hakuwa anajisikia maumivu akaendelea na shughuli zake kama kawaida. Fast foward, baada ya mwaka, akaanza kusikia maumivu makali ya kichwa, kwenda hospital hakukaa sana akafariki. Hivyo basi mgonjwa wenu jaribuni kupata ushauri wa kitaalamu kwenye hospital kubwa eg Muhimbili, na napendekeza mpata ushauri kutoka kwa ma dr tofauti tofauti. Kama mna uwezo aande sehemu kama Nairobi au India.
Yupo kwenye uangalizi na ufatiliaji kwa vipimo , hadi sasa amefanyiwa vpmo vya msingi viwili , na wao wame dai lazima afatiliwe kwa vpmo vya M-R-I kila mwezi

Yeye alivyopata dalili hatarishi hakuwa hospital?

Inayonyesha pia alivyoenda hospital hakutoa taarfa ya ajali maana wangempgia M-R-I wangeona hiyo shida chapu na kumfanyia upasuaji .
 
Hizi ni summary zilizofafanuliwa moja kwa moja kwenye majibu ya M-R-I
(AI) AMetembea ndan ya maelekezo ya dktr
 
Attachments

  • Screenshot_20260425-101611.png
    Screenshot_20260425-101611.png
    197.2 KB · Views: 5
Yupo kwenye uangalizi na ufatiliaji kwa vipimo , hadi sasa amefanyiwa vpmo vya msingi viwili , na wao wame dai lazima afatiliwe kwa vpmo vya M-R-I kila mwezi

Yeye alivyopata dalili hatarishi hakuwa hospital?

Inayonyesha pia alivyoenda hospital hakutoa taarfa ya ajali maana wangempgia M-R-I wangeona hiyo shida chapu na kumfanyia upasuaji .
Jamaa alikuwa ameumia kwa ndani lakini hakujua. Alipopata ajali alienda hospital akaangaliwa na kudhaniwa ni mzima ila kumbe alikuwa ameumia ndani ya kichwa. Kipindi hicho alikuwa hana maumivu yoyote. Baada ya mwaka ndiyo akaanza kusikia maumivu ya kichwa kwa mbali lakini haku-relate na ile ajali. Ikatokea siku moja akazidiwa kupelekwa hospital wanataka kumkimbiza kwenye upasuaji ikawa too late. Kwa upande wa mgonjwa wako nadhani wamefanya jambo zuri kuhakikisha wana-monitor hali yake kwa karibu na mara kwa mara.
 
Mkuu acha kutumia AI tafadhali.
Clinical thinking inaelekea wapi jamani 🥺
 
Da yaani maelezo yangu nimetumia AI? Nadhani ulitaka ku-quote mwanzisha thread ukakosea kwa sababu mimi nimetoa maelezo ya jamaa yetu aliyepata ajali. Rudi tena usome.
Mimi nimetumia maelekezo ya ya ma Dktr na pia nikatuma karatasi ya majibu ya M-R-I ndio ikafanunua zaid kiuwepesi zaid tuu yanafanana na maelekezo ya Dktr,

Ndio maana nikatoa maelekezo ya mtililiko wa matukio na tatizo mtu akiwa medical personnel anawez chambua vzr,

Ila maelekezo yako alipewa na daktar dalili kadhaa wahi hospital, huyo ndugu alipitiwa na ilibid ajuir hali yake, hadi huyu kupm M-R-I ni kujiongez tuu
 
Da yaani maelezo yangu nimetumia AI? Nadhani ulitaka ku-quote mwanzisha thread ukakosea kwa sababu mimi nimetoa maelezo ya jamaa yetu aliyepata ajali. Rudi tena usome.
Mimi nimetumia maelekezo ya ya ma Dktr na pia nikatuma karatasi ya majibu ya M-R-I ndio ikafanunua zaid kiuwepesi zaid tuu yanafanana na maelekezo ya Dktr,

Ndio maana nikatoa maelekezo ya mtililiko wa matukio na tatizo mtu akiwa medical personnel anawez chambua vzr,

Ila maelekezo yako alipewa na daktar dalili kadhaa wahi hospital, huyo ndugu alipitiwa na ilibid ajuir hali yake, hadi huyu kupm M-R-I ni kujionge
 
Back
Top Bottom