Mimi kwa nature yangu ya kazi huwa sitoki kila siku kwenda mjini, sasa ikitokea siku nimeenda nimekuwa nikiona hawa polisi wakiwa na mitutu ya bunduki kwenye mataa achilia mbali vituo vya...
Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu...
Katika maisha ya kila siku, kuna jambo moja ambalo linatisha kuliko njaa, kuliko maradhi, kuliko hata kifo chenyewe—nalo ni kuishi bila kufikiri. Kuishi kama mzigo unaosukumwa na upepo wa mazoea...
Boss wangu mimi kama abiria wako na nnaependa maendeleo yako kuwa makini saana ni kweli hatujui namna pesa ulipozipata ukafanya uwekezaji mkubwa maana scania 1 marcopolo inacheza bilioni 1 kasoro...
Ni maswali matatu ambayo yamekua yakinitatiza kwa muda sasa.
Nimejaribu marakadhaa kutafakari na kutafuta majibu ambayo pengine yatanitoa kwenye kuyawaza maswali haya kuntu kwangu, ambayo ni:-
1...
Wakuu nimeuliza njia halali shortcut ya kuwa prof au kumiliki phd naona kama kwa vigezo vyangu naambiwa siwezi na ni ngumu.
nimeamua kubadili gia akilini. Nataka nijipe mwenyewe ila kwa kukidhi...
Leo nimeona nitoe somo dogo kuhusu mifumo ya upoozaji, hapa nitachanya vyote kwa lugha nyepesi ambayo haipo deep sana ili lengo litimie ila kwenye comment ntakuwa naenda deep zaidi kwa yule mwenye...
Unawezaje kutishiwa na kitu ulichotengeneza mwenyewe
AI ni kama mkusanya taarifa kwa watu wengi mfano: makalani wa sensa yaani wanapita kusanya taarifa za mtu mmoja kisha wanazikusanya...
Matukio ya Oktoba 29 hayakuwa ya kawaida. Ilikuwa ni siku ambayo haikuacha tu alama kwa wananchi waliokumbana na vurugu, bali pia ilifichua sura halisi ya baadhi ya maofisa wa serikali katika...
Mwenyekiti wa Tume ya 29 October anadai kuna Polisi 16 waliuwawa, na baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Kwa kifupi, siamini maneno haya ya Chande na Tume yake.
Kama ni hivyo...
1. The Point Of No Return and
2. The Maximum Allowed Margin for Error.
The point of no return inatokea rubani akianza kuchekecha ndege ikae kwenye mstari ili aanze kushuka taratibu akiutafuta...
Habari za leo waungwana !.
Naomba kuwauliza; kwa hili jua letu hapa Tanzania hasa Dar es Salaam, Tanga, Mtwara, Lindi, Mwanza, Singida, Shinyanga na Dodoma hatuwezi kuwa na kiwanda cha vyombo...
Hizi Kadi za Mwendokasi inabidi ziboreshwe, unakuta ikiwa mpya au haijapata shuruba zozote inaonesha Namba ya Card ambayo Imeprintiwa juu ya lamination...
Sasa lamination ikitoka Namba ya Kadi...
1. Wazee, hawa ni watu muhimu sana kwako, kukaa mbali nao kunaweza kukufanya urudi nyuma kimaendeleo,fitna,majungu,ulozi na uchawi wanao so ukikaa karibu nao utajiepusha na hayo
2. Wahuni,wasera...
Kama utakuwa mtu wa kushinda mtandaoni basi utakuwa umebahatika kuona content za Pengo Makeke ambazo amekuwa akionesha utapeli. Maudhui hake yana ufanano na maudhui ya Kulwa Kikumba au Mr Dude...
Nimefanya kazi ya kuwauzia milango Wilaya ya Nanyumbu, Mkoa wa Mtwara tangu Mwaka 2023 mpaka sasa sijalipwa, nimejitahidi kwa kadri nilivyoweza kuonana na wahusika lakini bado hali ni mbaya...
Shule ya Sekondari Zanaki jijini Dar es Salaam, shule ya wasichana inayomilikiwa na serikali ya Tanzania, mwanafunzi wa kike anayeitwa Rosemary Thadei Mushi anasimama mbele ya wanafunzi wenzake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.