Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Weekend iliyopita iliniacha nikiwaza kama adhabu ya Sodoma na Gomora kama itakuja tena au mungu ashatuacha tupambane na hali zetu. Ni sherehe ya watu wakistarehe lkn ikaniacha mdomo wazi pale...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa. Moja kwa moja Niende, Kwenye Hoja, kuna watu wanaosadikika kukusimamisha kukuongelesha na utakwenda wanakotaka na utawakabidhi wanachotaka, baada ya hapo fahamu zinakurejelea...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna uwezekano kuwa Watanzania wengi hawafahamu maana ya symbol ya shilingi ya Tanzania, inayoandikwa kama /= kwa kuwa ina maana iliyojificha sana. Nimeona niwafumbue macho na tumtambue genius...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Inasemekana moto mkubwa umezuka kwenye moja ya jengo na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa karibu na Quality Center, Barabara ya Nyerere jijini Dar. -Chanzo chake hakijafahamika wala...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Ee bwana wanaJF wenzangu mzuka! Leo nimekutana na hii makitu mtandaoni Bruce alikuwa mvutaji bangi mzuri sana. Yani hii kitu imenipa faraja Kumbe huko mbele ya haki tuna hazina ya kutosha tu...
1 Reactions
54 Replies
14K Views
Kenya Imezindua Ndege Zake Mpya Aina Ya Boeing 787 Dramliner Zenye Uwezo Wa Kubeba Abiria 234 Kila Moja Ambazo Zitafanya Safari Za Moja Kwa Moja Kutoka Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Jomo Kenyata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila miaka inavyosonga mbele elimu imekuwa ikizidi kuwa ya kitofauti sana,kwa sasa elimu hapa kwetu huchukuliwa kama sehemu,ama LANGO la mambo mabaya,hasa vijana wengi wameona kama sehemu ya...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari! Hongera sana wewe mwanaJF ambaye mpaka sasa watoto wameshalipiwa ada na wameanza shule! Pongezi zikuendee pia kwa kulipa kodi ya nyumba na pango la biashara yako. Pamoja na masherehe...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Umeumbwa kutimiza kusudi fulani la Mungu lakini hujawahi kulitimiza ndio maana una hasara. Hasara siyo kwenye biashara peke yake, kuna watu vichwa vyao vina hasara tangu wazaliwe, kichwa haijawahi...
1 Reactions
1 Replies
733 Views
Miswada mitatu ya sheria, ukiwemo muswada wa marekebisho wa sheria ya hifadhi ya jamii, inatarajiwa kuchambuliwa na kujadiliwa kwenye vikao vya kamati za kudumu za bunge, vinavyotarajiwa kuanza...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mke wangu ni mtumishi alikopa mkopo wa miaka miwili lakini amepata shida je ? anaweza kwenda kukopa tena pesa kwenye hiyo hiyo taasisi ili aongeze mda wa miaka 2 ifike miaka minne sasa hivi...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Pasco, kwa majira haya wewe utaitwa mchochezi, watasema siyo wote wangelisoma hilo gazeti sasa wewe utapewa chapa ya uchochezi kwamba umesambaza gazeti hilo mtandaoni. Just take care Kwa mara...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana. Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako. Igawe ndege mara tatu...
32 Reactions
325 Replies
27K Views
Kweli nimeamini watu wa dar kiboko na hawako on time kabisa yan nilikuwa na miadi ya pesa kwa kufanya biashara na mtu wa dar aliniahidi atafanya transaction baada ya masaa mawili kwa maana ilikuwa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Moto mkubwa umelipuka eneo la viwanda. Muda wa saa 3:00.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
UNYONYAJI Mkubwa Kwenye miito ya simu(caller tunes) sasa hauvumiliki tena.. Kuna unyonyaji wa waziwazi ambao umekithiri kiasi sasa nadhani iwepo hoja ya Kupiga marufuku caller tunes hizi...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Itapendeza sana ewe muungwana ikiwa utanisaidiea namna ya kupata games za kucheza kwenye laptop..coi3 haswa racing. Games like euro track
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Nimeona ni vyema niliweke hili la huyu bwana Yona hapa JF, ni kwamba kumekuwa na taarifa mbalimbali zenye utata kuhusu kukamatwa kwa bwana Yona Fares Maro na polisi, kwa mujibu wa email iliyotumwa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Nilikutana nae enzi Za kuvaa shart jeupe na suruali jeusi,viatu ama vyeusi au vyekundu, huo Ndo ulikuwa utaratibu wa joining instructions ya wakati huo, sura nyingi zilionyesha wazi wengi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni lazima kila mtu humu jukwaani awe mwanasiasa,hivi ni lazima kila uzi humu ndani uhusishwe na siasa watu wanashindwa kuzuia mihemko yao humu tunajua wengine mko kazini ila tunashusha hadhi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…