Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
Kila miaka inavyosonga mbele elimu imekuwa ikizidi kuwa ya kitofauti sana,kwa sasa elimu hapa kwetu huchukuliwa kama sehemu,ama LANGO la mambo mabaya,hasa vijana wengi wameona kama sehemu ya kwenda kujifunzia anasa,wengine kwenda kukulia vizur,hata ujinga natumaini unaongezekea huko vyuoni,hebu fuatilia mwana chuo yeyote uliye jirani naye myenendo yake kimasomo,kisha leta marejesho hapa.