Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, ameagiza wagonjwa wasiotakiwa kufanyiwa upasuaji waliopo hospitali ya taifa Muhimbili kuhamishiwa hospitali ya Mloganzila...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Nchi nyingi Duniani watu hupata majibu au huja kugundua kuhusu mambo fulani kumhusu Kiongozi fulani baada ya yeye kufariki na wakati mwingine hata baada ya kupita miaka mingi sana, lkn TZ yetu ni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Waandishi wa habari watano wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamefikishwa mahakamani wilayani Kahama kwa makosa ya kujifanya maafisa usalama wa taifa na kujipatia fedha shilingi Milioni 1 kutoka...
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari za jioni nyote. Rejeeni tu Kichwa cha habari na " mtiririke " kwani kimeshajitosheleza. Nawasilisha na karibuni.
1 Reactions
112 Replies
22K Views
Kila mtu bila kujali ana exposure gani akisikia Taifa la Marekani kwa haraka atapata picha kwamba ndipo ile sarafu inayotamba duniani inapotoka na kila aina ya maendeleo yapo kule na inaaminika...
5 Reactions
98 Replies
21K Views
SALAMU ZA ASKOFU KAKOBE JUMAPILI YA PASAKA. (1) Kuna mwanasiasa ambaye ameibuka hivi karibuni akiwa na lengo la kuutafuta urais kwa mbinu ya kuwashawishi wananchi wa...
8 Reactions
73 Replies
13K Views
Habari wana jamvi, Kumekua na sintofahamu kwa wakazi wa wilaya ya kigamboni kuhusiana na kero ya kukatika kwa umeme kila siku na kila wakati kwa takriban wiki tatu au mwezi mmoja. Tatizo hili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna jambo la ajabu ambalo sijui ni Kwa nini inatokea hivi. Kwamba ninapohitilafiana na mke wangu nikikasirika mara nyingi mvua inanyesha ni jambo ambalo limenitokea zaidi ya Mara tatu sijui nini...
2 Reactions
60 Replies
8K Views
Ni siku ya pili nikishuhudia kukosekana kwa Umeme hapa wilayani ukerewe. Sijui hii wilaya vipi. Nikiangalia barabara, sielewi mkurugenzi au mkuu wa wilaya haiingii akilini kabisa. Naimani kuna...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Wakuu habari ya jumatano. Leo nimewahi kutoka mishe mishe zangu, nikafika hom nikaamua kujipumzisha sebuleni kidogo, nikawasha tv, sikujua kua kifurushi cha DSTV kimeisha maana hua siangalii mara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu cheki watu waliomiminiwa risasi za kifuani takribani 97.
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Nilikosea kutuma pesa kiasi cha shilling 65000/-kutoka Airtel money kwenda tigo pesa ktk namba 0678984060 ambapo ilikuwa majira ya saa tisa alasiri. Haraka haraka nikapiga simu Airtel kutoa report...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada, Please selikali imesema ving'amuzi channel za ndani ni bure, je natumia StarTimes nafanyaje ili nitumie?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu anakuwa na amani kama ametulia kwenye akili. Ni mtulizo wa akili mtu hapo tunasema ana amani.HUMU tanzania hamna amani kwasababu nyingi. mifano:  1)ela yetu haina...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali kupitia Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu yatangaza mpango wa kuwahamisha Madaktari Bingwa 200 kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenda Mikoani > Waziri amewaagiza Waganga wakuu wa...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
Habarini, Yaaani sikuamini, Mi nimkazi wa Dar sawa, lakini nature ya kazi yangu na mahala nikaaapo huwa sikutani sana na haya niliyoyaona leo. Nilikwenda mbezi ya kimara kulala huko na leo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi nikiwa mgonjwa wa mara kwa mara katika hospitali yetu pendwa yenye huduma nzuri hapa jijini Dar es salaam. Nimevunjwa moyo na kupindukia kwa kupotea Maadili kazini katika utoaji wa huduma...
3 Reactions
72 Replies
12K Views
Licha ya China kuwekeza mtaji mkubwa katika miradi ya maendeleo katika nchi za Afrika ikiwemo Tanzania, imebainika kuwa nchi hiyo ina mchango mdogo katika mapambana dhidi ya athari za mabadiliko...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanandugu, Naomba mwenye namba ya makao makuu Tz ya kampuni ya minara HTT anisaidie.
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Kama nusu saa hivi nimekuwa nikisikia gari inaunguruma nje ya uzio wangu, ikabidi niamke nikae niangalie ni gari gani na lengo lake nini. Liliposimama siwezi kuliona naona taa tu na kusikia mlio...
12 Reactions
75 Replies
6K Views
Back
Top Bottom