Msaada: Majambazi wanaotumia dawa

Msaada: Majambazi wanaotumia dawa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Habari wanajukwaa. Moja kwa moja Niende, Kwenye Hoja, kuna watu wanaosadikika kukusimamisha kukuongelesha na utakwenda wanakotaka na utawakabidhi wanachotaka, baada ya hapo fahamu zinakurejelea. Mshana Jr huu utaalam unaujua. Tafadhali mwenye ujuzi wa haya mambo na namna ya kuepuka wizi unaofanana na hili.

Senario: Mama mmja aliibiwa, alisimamishwa na watu aliowataja kuwa vijana wa makamo, hakujua walimuongelesha nini, alipatwa na ufahamu baadaya kuwapa fedha wakitokomea kusikojulikana.

kAZI KWENU WAJUZI....NAWASILISHA
 
Huu si ujambazi.. Jambazi anabeba silaha na ukileta fyoko anakumaliza... Huo ni wizi wa kiinimacho.. Unapumbazwa kwa muda na kufanya kile atakacho aliyekupumbaza... Maranyingi huchukua nususaa mpaka lisaa
Mwingine ni ule wa kuchomewa manyoya ya fisi dirishani... Utalala usingizi wa pono... Wanaweza kuchukua mpaka nguo ulizovaa
 
Ngoja nitumie tu hii nafasi kabla wenyewe hawajawasili
 
Huu si ujambazi.. Jambazi anabeba silaha na ukileta fyoko anakumaliza... Huo ni wizi wa kiinimacho.. Unapumbazwa kwa muda na kufanya kile atakacho aliyekupumbaza... Maranyingi huchukua nususaa mpaka lisaa
Mwingine ni ule wa kuchomewa manyoya ya fisi dirishani... Utalala usingizi wa pono... Wanaweza kuchukua mpaka nguo ulizovaa
huu wa kiini macho tunauepukaje? kama first aid? Nikiimaanisha kabla hawajaniwahi nifanyeje?
 
Hii kitu ipo sana, kuna mama yangu mdogo mmoja Morogoro aliwahi kuwapa elfu hamsini, TV na Kompyuta bila kujielewa. Juzi juzi hapa nimesikia imetokea Arusha city. Wakikusalimia kwa kukushika mkono au ukiwajibu tu umepumbazwa
 
Mkuu hasa hapo kwenye kuwajibu....ndio shida ilipo..utawajuaje? Lakini Mkuu Mshana amejibu hapo, .... Usimpe mkono mtu....., kwa maana kwamba hata kujibu jibu ni kosa nahisi hivyo(ni kama kumpa mtu ushirikiano)
 
Wana maswali ya mtego na kujifanya ni wageni wanaulizia njia hata ukiwajibu wakikushukuru kwa kukupa mkono potezea ndio pona yako
 
Back
Top Bottom