Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,828
- 32,732
Leo nimekutana na hii makitu mtandaoni Bruce alikuwa mvutaji bangi mzuri sana. Yani hii kitu imenipa faraja Kumbe huko mbele ya haki tuna hazina ya kutosha tu ukimuondoa Bobu.
Natamani nionane nao hawa mashujaa siku za usoni tuendeleze hizi harakati hata baada ya haya maisha.
R.I.P Bruce, Bobu and other fallen comrades in this field!
Legalize it!
Cheq interview yake Na Pierre Burton Happ chini