Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Kahama, Mkoa wa Shinyanga. Ni takribani siku tano sasa hakuna huduma ya maji, hasa katika Mtaa wa Majengo, Kahama, ambako kuna idadi kubwa ya wakazi. Licha ya kuwepo...
1 Reactions
0 Replies
21 Views
1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Habari zenu wakuu…. Mtu anapohisi au kuamini amerogwa kimapenzi mara nyingi huwa na hisia na dalili za kisaikolojia kama zifuatazo: 1. Kupoteza Udhibiti wa Maamuzi: Kuhisi kama huna kauli...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
✍️ OMEGA BOOK WRITING SERVICES Una idea ya kitabu, notes, au teaching materials lakini hujui namna ya kuibadilisha kuwa kitabu kilichoandaliwa kitaalamu? Tunatoa huduma zifuatazo: ✅ Book...
0 Reactions
0 Replies
26 Views
Mchekeshaji Wima, Neila Manga amerekodi video fupi akilia na kulalamika kadhia aliyokumbana nayo akiwa barabarani baada ya kusimashwa na Askari wa Usalama Barabarani Traffic akidai alimuomba namba...
1 Reactions
8 Replies
135 Views
Anonymous
Kitambulisho Changu cha Taifa (NIDA) kilifutika namba Januari 2026, nilikirudisha Ofisi za NIDA Wilaya ya Kishapu (Shinyanga) ili kufanyiwa marekebisho, tangu mwezi wa kwanza hadi leo Septemba...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako. Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha...
1 Reactions
0 Replies
17 Views
Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana. Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote Hivyo Lisu...
1 Reactions
4 Replies
102 Views
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya...
1 Reactions
1 Replies
25 Views
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo. Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani. Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama...
4 Reactions
3 Replies
77 Views
Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi...
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Swali langu ni hili: Je, kuna sababu ya msingi ya kuendelea kuwa na BASATA na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kama taasisi mbili tofauti, wakati maeneo ya majukumu yao yanaingiliana kwa kiasi...
2 Reactions
2 Replies
77 Views
Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu. Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende...
7 Reactions
35 Replies
404 Views
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia...
59 Reactions
576 Replies
38K Views
Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii...
1 Reactions
2 Replies
33 Views
Anonymous
Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika zifuatilie kwa umakini changamoto tunazopitia sisi madereva wa Bolt katika eneo la Airport Terminal, Julius Nyerere International Airport (JNIA). Kwa...
1 Reactions
0 Replies
24 Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za...
0 Reactions
5 Replies
76 Views
Kumbato kama hili tena na eda haijaisha hapa si ni kuharibu imani au kuingiza uzungu? Je ni halal?
2 Reactions
10 Replies
83 Views
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30...
2 Reactions
31 Replies
383 Views
Back
Top Bottom