Kitambulisho Changu cha Taifa (NIDA) kilifutika namba Januari 2026, nilikirudisha Ofisi za NIDA Wilaya ya Kishapu (Shinyanga) ili kufanyiwa marekebisho, tangu mwezi wa kwanza hadi leo Septemba...
Kuna siku dunia itaendelea kusonga mbele bila uwepo wako.
Watu wataamka, jua litachomoza, barabara zitaendelea kuwa na pilikapilika, biashara zitaendelea, mazungumzo yataendelea—na maisha...
Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote
Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana.
Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote
Hivyo Lisu...
Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya...
HAkuna utofauti wa sisi na ecosytem ya mbugani
Ni basi tu Sisi ni wanyama tulio vaa nguo.
Mjini na vijijini hakuna tofauti na mbugani.
Bila ya ku-evolve kuwa kama fisi, utalika kikatili kama...
Licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na Rais Mama Samia kutaka uhifadhi uwe sehemu ya utalii Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umekuwa sehemu ya kupuuza maagizo ya serikali, viongozi...
Swali langu ni hili: Je, kuna sababu ya msingi ya kuendelea kuwa na BASATA na Bodi ya Filamu Tanzania (TFB) kama taasisi mbili tofauti, wakati maeneo ya majukumu yao yanaingiliana kwa kiasi...
Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu.
Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende...
Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia...
Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama.
Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii...
Kwa heshima kubwa, tunaomba mamlaka husika zifuatilie kwa umakini changamoto tunazopitia sisi madereva wa Bolt katika eneo la Airport Terminal, Julius Nyerere International Airport (JNIA).
Kwa...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za...
Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho.
Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30...
Mwaka 2026 unaelekea robo ya nne ya oktoba hadi Desemba, tukiwa tumemaliza wiki 37 kati ya wiki 52 za Mwaka.
Umefanikiwa kusoma kitabu gani? Biblia ina vitabu 66 kati ya hivyo vitabu kuna kotabu...
Kila siku tunasikia "Wahenga walisema..." au "Wahenga hawakukosea..." Lakini umewahi kujiuliza kwa kina, hawa wahenga walikuwa akina nani hasa? Walikuwa na sura gani? Walikaa wapi, na kwanini kila...
Anaandika mwandishi na mchambuzi wa Clouds Media Group Farhan Kihamu
ORODHA YA MASWALI YANGU KWA MBUNGE WANGU AYAPELEKE BUNGENI KWA MAWAZIRI HUSIKA.
1- Mheshimiwa Mbunge suala la sekta Ardhi na...
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza Septemba 15, siku yake ya kuzaliwa, kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa nchini humo.
Siku hiyo mpya imepewa jina la Munhumutapa Day, ikiwa ni hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.