Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 17,327 Reaction score 26,864 Yesterday at 4:34 PM #1 Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea: Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni? Tusubiri vifo tutoe pole ! Attachments IMG_3250.jpeg 231 KB · Views: 1
Daladala za Mbagala-Kawe-Masaki na Kisemvule , Eicher zinabeba watu 70 kuendelea: Huko Mwanza wamekata Eicher ya Msukuma, itaisha lakini vipi kuhusu Dar, ina maana huwa hawaoni? Tusubiri vifo tutoe pole !
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 13,956 Reaction score 26,497 Yesterday at 9:23 PM #2 Binafs nayaogopa ma eichers aseeh
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,513 Reaction score 130,617 Yesterday at 9:27 PM #3 Hakuna daladala inayobeba level seat, kama ipo nionyesheni.