Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel na Kituo cha Moyo cha Berlin (Berlin Heart Center) cha nchini...
Hizi ndizo hisia zangu:Anayniunga mkono karibu tia uzito, asiyependa pi anaweza tukana sana akichoka asepe.Nape km kitamuuma kw aubaguzi wakidini basi namuomba avumilie kadiri awezavyo akichoka...
Miezi zaidi ya miwili sasa umeme Siku moja upo inayofua haupo hususan mda wa mchana
Kwa mwezi mmoja tunapata umeme siku 14
Viwanda huwa vinachakata raw materials ili kupata bidhaa mwisho...
Bila sera ya pamoja ya mda mrefu tusahau kuhusu maendeleo,lowasa atasema elimu elimu,baada ya miaka mitano mpango utaishia robo,atakuja mwingine atasema kilimo kwanza baada ya miaka mitano mpango...
Kama kuna mahali serikali inapigwa ni hapa, hivi inakuaje hawa wanaoitwa mafamasia wanaojihusisha na shughuli za kutumia vyeti vyao kwenye Mafamasi makubwaa hawalipi kodi!inakuaje mtu analipwa...
Death and taxes and childbirth! There's never any convenient time for any of them.
--Margaret Mitchell Gone with the wind
Learn as if you were going to live forever. Live as if you were going...
UCHAMBUZI WANGU JUU YA MAKOSA YAKE
1.Kuhubiri waumini wake wanywe pombe na kuinywa madhabahuni mwake-Kisheria hafanyi kosa lolote kwani pombe ni halali kisheria na swala la mjadala kama ukristo...
Kiukweli mimi simuungi mkono nabii Titto kwa anayoyafanya lakini pia simpingi sana. Sasa leo hii watu wengi tunapombeka na pia tutatembea na vijakazi pia na kufanya mapenzi na wanawake ambao...
Wakuu naomba kama kuna mtu anajua lolote kuhusu ajira za EWURA za Mwezi uliopita wa DECEMBER kama interview zimeitishwa tayari.
Nadhani mwajua kuwa wanasema only selected ones will be contacted...
Kuna video hizi mbili ambazo zinaonyesha tukio la kijana mmoja ambae anavunja sheria za barabarani kwa kuendesha maeneo ambayo ni hatarishi na kwenda kufikia speed 180km/Hr
Tizama video hizi...
Mi ninapenda tu kujua kwamba, Serikali inaposema kwamba wazazi wasitoe michango yeyote Shuleni ina maana wanafuta lunch and Uji kabisa kwa wanafunzi wa kutwa, au serikali itakuwa inatoa na HUDUMA...
Jana katika mizunguko yangu nilipita kwenye gulio/soko nikawa nimenunua nguo za mwanangu ila nilivyo fika home mdada wa kazi katika harakati za kutaka kufua akakutana na hii noti ya Omani....100...
Jamani watu wa mazingira hili amlioni pamoja na Halmashauri ya jiji letu la DSM imekuwa kero kubwa hasa mitaa ya Posta kupitia Samora Avenue kuanzia mida ya saa moja mpaka mbili harufu mbaya...
Jamani kama kichwa kinavyo eleza niko hapa kigoma zaidi ya wiki 2 sasa maji hayatoki mji mzima ukiuliza sababu wanasema umeme umekatwa watu wanatesa maji hakuna watu wanachota maji ziwani machafu...
Je, Agano ni nini?
Agano ni mapatano baina ya mtu na mtu ama baina ya pande mbili na ambalo linawafunga wote wawili . Agano huwa linaambatana na kanuni za Agano ambazo hazipaswi kuvunjwa na...
Mtoto wako anaenda shule asubuhi kiomita saba toka nyumbani kwako hajala na anatakiwa afuatilie masomo na kushinda mtihani wa kidato cha nne.
Wewe kama mzazi ni vyema utumie akili yako ya...
Nimekuwa nikiona mara kwa mara humu ndani vijana wengi wakilalamika kuhusu costs za sherehe za harusi na kuona kama vile ni kikwazo kwa wao kuweza kuuaga ubachela.
Ninachopenda kuwaambia ni kuwa...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akimpa pole mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Karatu, Moshi Darabe.
Karatu. Wakazi wa Karatu na baadhi ya wabunge wamejitokeza kuaga...
Sumbawanga. Mwanakwaya wa kwaya ya Mtakatifu Secilia, Kigango cha Muze Parokia ya Zimba, Jimbo Katoliki Sumbawanga, Flora Nandi (25) ameanguka na kufariki dunia muda mfupi baada ya kutoa sadaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.