Ni lazima tuwe na sera za pamoja Watanzania

Ni lazima tuwe na sera za pamoja Watanzania

Abubakar Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
274
Reaction score
170
Bila sera ya pamoja ya mda mrefu tusahau kuhusu maendeleo,lowasa atasema elimu elimu,baada ya miaka mitano mpango utaishia robo,atakuja mwingine atasema kilimo kwanza baada ya miaka mitano mpango unakufa, hatuwez kufika kwenye maendeleo makubwa kwa kwa staili hii,lazima tuwe na sera ya nchi ambayo ni ya mda mrefu na kila kiongozi anayeingia afanye kazi kulingana na sera husika...nawasilisha...
 
Ni wazo zuri kwamba anayeshinda uchaguzi anaunda Serikali kwenda kutekeleza sera ya kitaifa (dira) iliyoandaliwa kwa pamoja na wadau wote husika. Swali je CCM watakubali?
 
Ni wazo zuri kwamba anayeshinda uchaguzi anaunda Serikali kwenda kutekeleza sera ya kitaifa (dira) iliyoandaliwa kwa pamoja na wadau wote husika. Swali je CCM watakubali?
Cjui labda kaongee nao[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom