Fight ClimateChange
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 294
- 262
Wakuu naomba kama kuna mtu anajua lolote kuhusu ajira za EWURA za Mwezi uliopita wa DECEMBER kama interview zimeitishwa tayari.
Nadhani mwajua kuwa wanasema only selected ones will be contacted. nisijekuwa nasubiri hewa. naomba nijuzwe
Nadhani mwajua kuwa wanasema only selected ones will be contacted. nisijekuwa nasubiri hewa. naomba nijuzwe