Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndo tuseme Mungu hajatupa uwezo wa kuunda wala kung'amua? Wala kutengeneza kwetu? Mpaka tufikie hatua ya kuita ulaya 'mbele' na kukimbilia huko kila kukicha huku tukiacha madini ya kila aina...
0 Reactions
0 Replies
713 Views
Kaya 20 zimekosa mahali pa kuishi baada ya nyumba zao kuezuliwa na upepo pamoja na madarasa mawili katika shule ya msingi Kilawalawa katika kijiji cha Lyangweni kata ya Litapwasi wilayani songea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu poleni na shughuli za kutwa! Nimeshtushwa sana baada ya kukuta mashine ya kutolea pesa maarufu kama ATM Machine tawi la NMB hapa Korogwe imekojolewa! Nimetokea Lushoto. Sasa baada ya...
8 Reactions
55 Replies
7K Views
Wadau, shule zilipofunguliwa mtoto ambae mimi ni mlezi wake aliniomba pesa ili apeleke shuleni kwa ajili ya kununua mahindi na sukari kwa ajili ya uji shuleni, angalau watulize njaa na kuendelea...
22 Reactions
84 Replies
7K Views
Ukiwa na hela katika Nchi za kiafrica basi utaishi vizuri sana Hasa hapa kwetu Tz Rafiki hela atakufanya [emoji117]Uheshimike kwa wakubwa na wadogo [emoji117]Rafiki hela atakufanya umiliki...
0 Reactions
2 Replies
617 Views
Nimetumia jina wanyonge kwa kuwa ndio jina tunaloitwa na kujiona linatufaa. Watanzania wanyonge. Mwaka uliopita tukakumbwa na tetemeko la ardhi Bukoba, majeraha hayajapona bado kuna wanyonge...
0 Reactions
10 Replies
989 Views
MHESHIWA; Kukodi shamba eka 1@50,000 Kulima eka 1@50,000 Mbegu eka 1. 1kg@6000×8=48,000 Kupanda eka 1@12,000 Mbolea DAP Mfuko 1@55,000 Palizi eka 1@40,000×2=80,000 Mbolea UREA kukuzia 1@40,000...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbwa awa shujaa na kuokoa maisha yake dhidi ya joka kubwa aina ya chatu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mahitaji yai bichi na Nazi iliyokomaa na kuanguka yenyewe kutoka juu. Chukua nazi au yai weka kiganjani Tembea taratibu sana Kama ardhi ina maji yai linasimama lenyewe.
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA), Peter Msigwa ametamaushwa na hali ambayo ameikuta kituo cha polisi Iringa Mjini na kusema kuwa hali lazima iwe mbaya kwa raia wa kawaida. Kulingana na taarifa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Jana tulijuzwa hapa Jf kuwa askofu Kakobe leo ana safari ya kwenda kuitikia mwaliko wa TRA, mwenye taarifa ya kilichojiri tafadhali atujuze! cc: kibeseni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilienda kumloga jamaa yangu usiku nikachemka nilipokutana nae kesho yake nikaona aibu, siku moja niliopoa malaya nilipokutana sikuona aibu malaya nae alikua na furaha.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimeona link hiyo youtube naona watu wengi waliofanikiwa huko Marekani wanaponda degree ni useless katika kufanikiwa. Kwa mazingira yetu ya kibongo una maoni gani?
1 Reactions
69 Replies
8K Views
REA
Mu khal gan wandugu!!! Naomba kujua ofisi za REA hawa wasambaji mradi wa Umeme vijijini kwa Mkoa wa Iringa Alamsik
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amesema daktari wa Hospitali ya Milembe mkoani humo amethibitisha kuwa Tito Machibya maarufu kwa jina la Nabii Tito ana tatizo la akili...
6 Reactions
123 Replies
20K Views
Inaingia vipi akilini kuwa Television ya Taifa/TBC ambayo ina unlimited budget na resources za video zake zina kiza na mwingu lakini video zinazotolewa na huyu kijana Millard Ayo ambaye videos...
21 Reactions
118 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu, nauliza ni neno lipi lafaa kumwambia mtu unapomkuta kazini au ndo ametoka kufanya kazi Ni Hongera au Pole? Nawasilisha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu za saizi Mara nyingi katika pitapita zangu za mitandaoni kwa kujipatia yaliojiri kupitia ukurasa wa mdogo wangu, kamanda Yeriko Nyerere, anaejiita mwana siasa na mwaandishi. Hutumia nguvu...
1 Reactions
6 Replies
994 Views
Habari wana jukwaa..! Baada ya kukaa kwa muda mrefu kidogo bila kupost thread nimejihis kuwa na kiu na shauku ya kupost chochote Ili kukata kiu yangu, bila kuzungatia maudhui ya uzi huu ila lengo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba tujadili hili! Mabasi yote ya New Force kwa nyuma kwenye handle ya kufungua buti kumefungwa kitambaa chekundu hii inamaanisha nini? Mkumbuke pia kipindi cha nyuma basi zote...
1 Reactions
88 Replies
30K Views
Back
Top Bottom