baada ya kutafakari kwa muda nimeamua kufanya maamuzi ya kutaka kujiunga forex
wakuu ni vitu gani napaswa kuandaa na kulipia hadi niwe mwanachama
Pia je itamfaa mtu anaesafiri mara kwa mara?
Habri wana jamvi.. Kuna huu mti unatumika Sana Kama mapambo na kivuli ktk nyumba zetu.. Kuna mgen alinitembelea akanambia Mti huu unahusishwa na ushirikina. Mikosi magonjwa na nuksi ktk nyumba...
Kwa kweli bustani hiyo tajwa inatutia aibu wakazi wa jiji pamoja na viongozi wote wa jiji ili na vitongoji vyake,dunia nzima katika miji utakuta bustani nzuri za kupendeza,huko utakuta wananchi...
Ni wazi Gambling pays big time to these gambling companies,
Michezo hii ina hasara nyingi kwa wananchi kuliko faida,
Kuna haja serikali kudhibiti hii michezo inayowatengenezea faida kubwa...
Juzi ilitokea ishu ya nyufa katika kuta za hostel pale UDSM, walijitokeza watu wengi sana kupondea wahandisi waliojenga lile jengo.
Wengi wa walioponda ni ambao sio wasomi na wale wasomi...
Baadhi yetu huweka akiba zetu kwenye mitandao ya simu sasa huo ugonvi wenu na serikali utaisha lini?maana mko kimya tu mwisho siku ikala kwetu ikizingatia wengine2 hugeuza laini simu vibubu
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju.
Nauli ya...
Habari wanaJF,
Watu wanne wanaohisiwa kuwa ni wezi wa mifugo na pikipiki wameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga kisha miili yao kuteketezwa kwa moto na wafugaji katika kijiji cha Mswaha kilichopo...
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limekamata shehena ya dawa za kulevya kufuatia msako uliyofanyika kati ya Januari 1-24 mwaka huu.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga SACP...
Kwenye kipato chote halali cha mwaka, asilimia 82 ilienda kwa mabilionea wa dunia huku maskini wakikosa cha kuambulia. Hili limedhihirishwa na ripoti ya shirika la Oxfam iliyotolewa wakati...
Yule Wakili mahiri Ndugu Herbert Nyange amefariki dunia juzi asubuhi. Heshima za mwisho ni kesho (25/1/2018) huko kanisa la KKKT Sengerea. Sambamba na hilo, Jaji mstaafu Robert Kisanga naye...
1.Siwezi kununua gari kwa mkopo.
2.Huyo bwana wake ni mkubwa kuliko yeye, alifuata pesa tuu!
3.Iphone kitu gani, simu simu tuu bora mawasiliano.
4.Siwezi kula chakula cha kwenye fridge...
Ndugu wana jamii wenzangu! Sina shaka muwazima wa buheri. Turejee kichwa cha habari husika!
Nimejaribu kutafakari kwa kina kuhusu viwanda na uwekezaji katika nchi yangu Tanzania, nimewaza kwa kina...
Asubuhi nimeingia kazini, naona Wahasibu wako busy kujiandaa kwenda MUHAS na manyaraka maana tunawadai almost 70m. Nilipouliza mbona leo mnaandamana wengi wengi? Nikaambiwa kamati ya manunuzi...
Miaka michache ilopita vyombo vya habari nchini Afrika ya kusini viliripoti kuhusu kuzuka kwa kanisa la jipya la Kabola ambalo waumini wake walikuwa wakinywa pombe kanisana kama afanyavyo nabii...
Madereva wa gari yoyote (ndogo au kubwa) kumbukeni mmebeba dhamana ya maisha ya watu mliowabeba kwenye magari au wanaotembea kwa Miguu.
Yeyote anayehatarisha maisha ya watu wetu hatutamuacha...
Habari za jioni wana bodi.
Hili tukio limetokea usiku wa kuamkia jana,ila nimeona niliweke leo ili wahusika walifanyie kazi maana vitendo hivi vimekithiri eneo hilo.
Watu wanaosadikiwa kuwa...
Dodoma leo kuanzia kama nusu saa lililopita wafanyabiashara wakubwa tunaionja joto ya jiwe baada ya ofisi na biashara zetu kufungwa ikiwa ni sababu ya kutolipia au kutowasilisha return ya kodi...
Habar za Jion Bandugu.
Watu wengi huku mtaani wamekuwa wakiongea kuwa uvutaji wa bangi unasababisha ukichaa na mtu kutojielewa ..mpaka watu wengine wakijua unavuta bangi wanaweza kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.