Kwanini nauli Mbweni hadi Tegeta 500/= Bunju hadi Tegeta 400/=?

kisingi

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
516
Reaction score
377
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju.

Nauli ya 500/= ilikuwa wakati barabara ilikuwa ya udongo na vumbi sasa ni lami safi sana hakuna sababu ya kuwa na nauli ya juu. Mbweni ni karibu kuliko Bunju au Mabwepande.

Sasa hata mabasi ya Mbweni kwenda Makumbusho hutoza 500/= kwa ashukae Tegeta au kabla japo hutoa tiketi ukilazimisha iliyo andikwa nauli 400/= Tunaomba serikali iangalie haki katika nauli za route ya Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au Tegeta kwa Ndevu.
 
Nunua baso lako uletewe hesabu ndogo ndo utaona ugumu wa kushusha nauli
 
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju.

Nauli ya 500/= ilikuwa wakati barabara ilikuwa ya udongo na vumbi sasa ni lami safi sana hakuna sababu ya kuwa na nauli ya juu. Mbweni ni karibu kuliko Bunju au Mabwepande.

Sasa hata mabasi ya Mbweni kwenda Makumbusho hutoza 500/= kwa ashukae Tegeta au kabla japo hutoa tiketi ukilazimisha iliyo andikwa nauli 400/= Tunaomba serikali iangalie haki katika nauli za route ya Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au Tegeta kwa Ndevu.
.makumbusho/posta Tsh.400/= makumbusho/tegeta Tsh 500/= hapohapo makumbusho/ILAILA^Boma TSh. 400/=

au zimepanda sikuiz nauli hizo,
 
Nachukua fursa hii kuwaomba SUMATRA kurekebisha na kutangaza katika vyombo vya habari kuwa nauli toka Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au kwa Ndevu ni 400/= kama ilivyo mabasi ystokayo Bunju.

Nauli ya 500/= ilikuwa wakati barabara ilikuwa ya udongo na vumbi sasa ni lami safi sana hakuna sababu ya kuwa na nauli ya juu. Mbweni ni karibu kuliko Bunju au Mabwepande.

Sasa hata mabasi ya Mbweni kwenda Makumbusho hutoza 500/= kwa ashukae Tegeta au kabla japo hutoa tiketi ukilazimisha iliyo andikwa nauli 400/= Tunaomba serikali iangalie haki katika nauli za route ya Mbweni kwenda Tegeta Nyuki au Tegeta kwa Ndevu.
Nunua gari lako ndo suluhu ya kudumu
 
Ninalo Nyuki kwenda Bagamoyo..Njia poa. Pole kwa kuwa hujitambui ngoja nifike Bagamoyo.
 
Huwa sizielewi hizi nauli za daladala hapa jijini Dar. Mfano Makumbusho/Tegeta /Nyuki 500, lakini Makumbusho kuanzia Kibo Complex hadi Bunju ni 750!!
 
Mkuu kigezo cha kupanga nauli sio distance peke yake, wanaangalia ile panda shuka ya njiani, miundo mbinu na idadi ya watu!
 
Back
Top Bottom