gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 906
Dodoma leo kuanzia kama nusu saa lililopita wafanyabiashara wakubwa tunaionja joto ya jiwe baada ya ofisi na biashara zetu kufungwa ikiwa ni sababu ya kutolipia au kutowasilisha return ya kodi mwezi..
Ukilipa nusu pia unalo.Hapo bado kodi zingine nyingi ikiwemo za manispaa,anatoka afisa huyu anaingia afisa yule,mifuko ya jamii bado.ofisi zinafungwa kama hawana akili nzuri..tunaisoma namba haswa..joto la kufungiwa ofisi lisikie kwa wenzio tu..lisikukute wewe..
Hvi serikali inategemea tuweke reserve kwa ajili ya mapato yao? Wanadhani izo ela sisi tunazila? Hawajui kama tuna mikopo tunatakiwa tutoe repayments kubwa zenye riba kubwa ambazo hazina kodi? Mdororo huu wa uchumi ela zinatoka wapi kama serikali yenyewe ndio mlimbikizaji mkuu wa hela za huduma ikiwa yenyewe haioperate on accrual basis kwenye shuguli za kodi.to collect you need a feed up.
Ruhusu bas pesa kwenye mzunguko ili uchukue kodi zako na sisi tupate pakutokea.inasikitisha sana aisee..
Tunapishana tu humu katika ofisi zao mda huu..wengine wengi sana wakiwa wameshakata tamaa na barua mkononi za kufunga biashara..
Nacheka lakini sio kwa mazuri,imagine familia zao na za walio ajiliwa ..hahah ili ni somo kubwa sana..
Siku njema wakuu.