Wakati huo mrema alikuwa anapendeza, ukimuangalia sasa hivi amechoka utafikiri ana utapiamlo
Hahaha, ,;kaka ndio dunia ilivyo,,tunajisahau tu wanadamu,,,me binafsi nikiangaliaga picha zangu za miaka kuanzia 1993 hadi leo hii,,,aisee tunatoka mbali tunakoenda karibu mno, ,,, Hapo mrema alikuwa bado ana nguvu aswa na afya tele,
Sidhani kama alifikiria kuwa kuna siku atakuja kuwa na afya tete na akili tete, cha kuzingatia kabisa inatakiwa wanadamu tufahamu kuwa dunia ni mapito kwetu na tuna maisha mafupi sana duniani laiti tungejua ilo,
Nashangaa Mwenyekiti wa chama cha Lumumba anavyowafanyia wapinzani wake utadhani hapa duniani ataishi milele, mkumbusheni kuwa duniani tunapita, lolote linaweza likawa,,,,eidha kufa au kuumwa miaka na miaka upo kitandani, ,
au baada ya uongozi au utawala katika nchi akaja kuingia mtawala wa baada yako ukajikuta maisha yako yaliyobakia yote ukayamalizia jela,, unaemfanyia leo dhuluma na unyanyasaji. Uwezi kujua miaka kadhaa ijayo anaweza akashika madaraka ktk Nchi kama sio yeye basi eidha nduguye au rafikiye wa karibu,, kitakachofuata ni malipizi, maana hakuna aliyejua katika chama chetu wala katika NCHI kuwa Ngosha atakuja kuwa prezidaa mwaka ule,, wengi walihisi for 10O% kuwa Lowasa au Membe, kwaiyo pia hatujui si kisayansi wala kiramli kuwa miaka kumi ijayo nani atakuwa mtawala,, Uenda anaenyanyaswa leo akaja kuwa mtawala, , hata pharao hakujua kama Mussa na wana waisrael watakuja kushika madaraka ktika Nchi, ye alijua siku zote wana waisrael watakuwa watumwa wake tu, / Mungu ndie ajuae