game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,329
- 26,978
Ni wazi Gambling pays big time to these gambling companies,
Michezo hii ina hasara nyingi kwa wananchi kuliko faida,
Kuna haja serikali kudhibiti hii michezo inayowatengenezea faida kubwa (Bulk frofits) hawa jamaa na kuwaacha vijana wakizidi kuwa mafukara, mbaya zaidi baadhi yao, especially hawa wageni wakishapiga mihela kupitia hizo jerojero na bukubuku zetu vijana wanabadilisha kwenye USD halafu wanasepa Nazo, wanapunguza pesa kwenye mzunguko na hata akiba yetu ya foreign currency..
Tazama Hizi tozo kwa baadhi ya nchi Duniani
Tozo za juu kabisa
Tozo za chini Kabisa
Ni jambo jema hii faida tukigawana.