TANGA: Jeshi la Polisi lakamata Shehena ya Dawa za Kulevya

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limekamata shehena ya dawa za kulevya kufuatia msako uliyofanyika kati ya Januari 1-24 mwaka huu.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga SACP Bernard Bukombe.

IMG_20180124_143952.jpg
IMG_20180124_143948.jpg
IMG_20180124_143938.jpg
IMG_20180124_143955.jpg
 
wachome moto kama wanavyofanya bangi na nyavu za kuvulia samaki na vipodozi
 
Sijawahi kuonja bhangi na sitaonja ila nauliza. Kwa wale waliokwisha kuitumia. Eti ni kweli unalewa kama pombe kiasi unapepesuka. Kuongea kiingereza na kijaluo. Kujikojolea na kuvua nguo ?
 
Hiyo hela mjomba lazima wahifadhi kwanza.kukifuatiliwa Sana nawakubwa sawa kukitulia Kama kawa.
sasa umenifumbua na ndio maana sijawahi ona wakichoma hayo madawa moto, sasa wanawauzia akina nani, au ndugu zetu kinondoni huko
 
Hivi wanaokamatwa na madawa ya kulevya huwa wanaruhusiwa kudhaminiwa?
 
Dawa hiyo haichomwi wakamataji wenyewe ni unaa tu ila inatamaniwa na watu kibao mtaan
 
Back
Top Bottom