Bustani ya mnazi mmoja inatia aibu

Bustani ya mnazi mmoja inatia aibu

Shetemba

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
956
Reaction score
986
Kwa kweli bustani hiyo tajwa inatutia aibu wakazi wa jiji pamoja na viongozi wote wa jiji ili na vitongoji vyake,dunia nzima katika miji utakuta bustani nzuri za kupendeza,huko utakuta wananchi wakati wa jua kali wamepumzika wengine wanasoma vitabu wengine stori basi raha tupe,sisi wa zamani nakumbuka pale mnazi mmoja palikuwa pazuri sana kulikuwa na viti vya zege maji ya urembo maua mazuri sasa nashangaa eneo lile pazungushwa uzio sasa sijui pameuzwa sielewi.sasa ukifika mwanza kuna gaden yao wenyewe wanapaita Kemondo ni pazuri sana kwakweli nawapa hongera sana watu Mwanza, sasa namuomba mkuu wetu wa mkoa kwanza ni kijana pia ni msafi ajaribu kufuatilia
 

Attachments

  • dsc02593.jpg
    dsc02593.jpg
    34.6 KB · Views: 29
Hivi vinakuaga vijiwe vya wasio na kazi,vibaka na matapeli

Kutwa nzima wanashinda wamekaa wanatega mingo hawaeleki wanakoelekea
 
Kwa kweli bustani hiyo tajwa inatutia aibu wakazi wa jiji pamoja na viongozi wote wa jiji ili na vitongoji vyake,dunia nzima katika miji utakuta bustani nzuri za kupendeza,huko utakuta wananchi wakati wa jua kali wamepumzika wengine wanasoma vitabu wengine stori basi raha tupe,sisi wa zamani nakumbuka pale mnazi mmoja palikuwa pazuri sana kulikuwa na viti vya zege maji ya urembo maua mazuri sasa nashangaa eneo lile pazungushwa uzio sasa sijui pameuzwa sielewi.sasa ukifika mwanza kuna gaden yao wenyewe wanapaita Kemondo ni pazuri sana kwakweli nawapa hongera sana watu Mwanza, sasa namuomba mkuu wetu wa mkoa kwanza ni kijana pia ni msafi ajaribu kufuatilia
Waweke na AC
 
Back
Top Bottom