DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,430
Habar za Jion Bandugu.
Watu wengi huku mtaani wamekuwa wakiongea kuwa uvutaji wa bangi unasababisha ukichaa na mtu kutojielewa ..mpaka watu wengine wakijua unavuta bangi wanaweza kuanza kukutenga.
Mimi binafsi baada yakusikia story za utumiaji wa bangi kuwa mtu akivuta bangi inaweza kuondoka kichwani baada ya miaka saba. Ndipo na mimi nikawa naogopa kusikia neno bangi mpaka nilipokuwa naonyeshwa mtu anayetumia bangi nilikuwa naanza kupatwa h+ofu mithili ya mtu aliyejikojelea ugenini.
Lakin baada yakuhitimu elimu ya msingi nakuingia kidato cha kwanza story hizo nikaona kama ni za uongo.
Maana walikuepo wanafunz ambao wako kidato cha 4, 5, 6- wanaotumia bangi nawalikuwa wako vizur tu kiakili.
Sasa na Mimi nilipofika form two nikasema ngoja niijaribu hii sigara kubwa ina nini ndani yake ..kiukweli baada ya hapo sikuona maajabu yeyote nikicompare na story za watu .. nafikil hii ilikuwa kutaka watoto wao wasivute bangi still wako masomoni.
Yaani iyo nisawa na wazazi kuwakataza watoto kutojiusisha na mapenz wakiwa wadogo ...lakin wao wanafanya kama kawaida..tu.
Ila naomba niwaambie wadau kuwa kama mtu ajawai kuvuta bangi namshauri asivute kabisa. maana kuicha atapata mtihani mkubwa sana...
pia watu mnaovuta bangi mkawa mnadata mpaka ..kufika hatua yakushindwa kuheshimu jamii.......... inayowazunguka mpaka , Unakuwa mchafu ufui nguo zako uogi ..naomba muhache kuvuta bangi maana nyie vichwa vyenu vitakuwa sio vizur since day one..mnabid mtafute stimu inayoendana na vichwa vyenu...kama Sigara ya Nyota .Nk.
Nb bangi sio nzur hata kidogo kwa matumiz ya binadamu yeyote..[HASHTAG]#GwatamaniSoja[/HASHTAG] .