*HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE*
1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.*
2. Jina lako umepewa na *watu wengine.*
3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.*
4. Kipato...
There is a talk about the changes in the Social Security policies in Tanzania.One key issue is whether to allow withdrawal of funds should be allowed from social security fund which is popularly...
Wakati bunge likiendelea mjini Dodoma sijasikia swali kuhusu bunge kutekeleza jukumu lake la kulipia matibabu ya mbunge Tundu Lissu anae tibiwa huko Belgium. Hivi ni woga wa wabunge ama ni...
Ilianza na vitambulisho vya taifa,imekuja laini za simu kielektronic,sasa hata passport za east afrika ni kielectronic! naanza kucconnect dots na ujio wa jasusi mbobezi kagame! kuzimwa uhuru wa...
Shule inaitwa Darajani Secondary School, ipo Moshi vijijini, Marangu..
Jamani huu ni wizi kweli kweli WAZAZI tunalipia laki na hamsini halafu shule nzima wapo 1,000 piga hesabu kwa laki na...
Hi members
Uzinzi kimeo bandugu.
To make story short.
Umepata mzigo. Ukapiga kwanza (peku), then mkaamua kupimana. Ukapata matokeo haya.
What do you do?
Wanajukwaa mada yangu leo ni fupi tu, hebu tufumbuane macho kuhusu jambo hili.
Nimekua nikisikia sana kwamba Kama mkweo(mama yake mkeo) akiwa na tabia mbaya kwake hasa kuhusu ndoa na heshima ya...
Nadhani hii si mara yangu ya Kwanza kuja humu JamiiForums na kukusifia kuwa Wewe ni mchapakazi mzuri na mpambanaji wa Kimaendeleo hasa katika huu Mkoa wako wa Dar es Salaam tofauti na watangulizi...
Dar es Salaam. Serikali imeanza uhakiki wa walimu wenye Shahada ya Uzamili ya Elimu wanaofundisha shule za msingi.
Uhakiki huo ulioanza Januari 22,2018 unatakiwa kukamilika Januari 31,2018 na...
Ukipita pita huko mjini usipokuwa makini unaweza gombana pasipo sababu na hawa walinzi Wa kampuni mbalimbali za walinzi zinazorinda maofisi mbalimbali,
Hawa jamaa wanaboa sana kujidai wao ni...
KUNA WAKATI NILIANDIKA MAKALA HII YA MARAIS WAVUMILIVU AFRIKA MASHARIKI FACEBOOK.
NILIYEMPA NAFASI YA KWANZA NI MH UHURU KENYATTA.
Orodha yangu ilikuwa hivi.
1. MH Uhuru Kenyatta
2. MH Paul...
Amani iwe kwenu Waheshimiwa.
Alhamisi ya tarehe 25/1/2018 nikiwa Dodoma ktk vikao vya Kamati ya Bunge, nilipigiwa simu na wananchi wa Limalyao kuwa Polisi wamevamia usiku wa manane ktk majumba...
" Sifa mojawapo kubwa ya chumba cha mtihani ni ukimya na utulivu. Vivyo hivyo, ukiwa katika chumba cha changamoto zako jifunze kutafuta majibu yaliyo ndani yako katika hali ya ukimya na utulivu."...
Dah.......
Tafiti zimefanyika ndani ya bongo na wabongo juu ya akili zetu....matokeo kila mmoja anayajua....
Rais Trump hapitishi siku mbili bila kutupa makavu live juu ya akili zetu.....
Hii...
Habari waungwana wa humu jf.
Bila kupoteza muda nakwenda moja kwa moja kwenye mada,
Siku za hivi karibuni kumeibuka style ya wizi kwenye hizi airtel money , tigo pesa au m pesa, eazy money nk...
Habari za leo rafiki yangu?
Kama kuna mwezi ambao unaongoza kwa kulaumiwa na kulalamikiwa kwenye miezi 12 ya mwaka, basi ni mwezi Januari. Watu wengi huwa na malalamiko kuhusu mwezi huu, na hata...
‘Ili mtu aendeshe gari ya shule, sharti awe na umri usiopungua miaka 35 na sharti awe na umri usiozidi mika 60, kinyume na hapo ni kosa na adhabu yake ya awali ni faini ya shilingi laki moja...
Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka.
1. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake.
Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU...
January 30, 2018
EXCLUSIVE NA MKALIMANI WA NYERERE, MWINYI ANAYESOTEA HAKI MIAKA 13 KORTINI
- Kama kuna Watanzania waliowahi kuonja adha na uchungu wa kudai haki mahakamani kwa muda mrefu huku...