Marais wavumilivu Afrika Mashariki

Marais wavumilivu Afrika Mashariki

mtupori2010

Member
Joined
Sep 13, 2010
Posts
22
Reaction score
8
KUNA WAKATI NILIANDIKA MAKALA HII YA MARAIS WAVUMILIVU AFRIKA MASHARIKI FACEBOOK.

NILIYEMPA NAFASI YA KWANZA NI MH UHURU KENYATTA.

Orodha yangu ilikuwa hivi.
1. MH Uhuru Kenyatta
2. MH Paul Kagame
3. Mh kaguta Yoweri Museveni
4. Mh John Pombe Magufuli
5. Mh Pierre Nkuruzinza.

Kipimo changu kiliangalia uwezo wao wa kukabili media, kujieleza kwa wananchi wao na kutenda yaliyo ndani ya mamlaka yao bila kuathiri mihimili mingine ya kiutawala.

Jana imejidhirihisha wazi wakati Raila alipojiapisha kuwa rais wa mtaa - UHURU PARK!!!!

Nampongeza MH.Uhuru Kenyatta. Ndiye rais mvumilivu kuliko wote afrika mashariki.

He is the most tolerant president in east africa.

Tuna cha kujifunza kutoka kwake pamoja na ukweli kwamba, amezaliwa na kukulia ikulu.

KILICHOFANYIKA UHURU PARK KINGEKUWA HAPA TANZANIA LEO TUNGEKUWA TUNAOMBOLEZA WALIOJERUHIWA KAMA SIO KUUAWA.

Kumbukeni ya Zanzibar miaka 20 iliyopita!!!!!!!!!???!!?!

KUTOFAUTIANA KIITIKADI KUNAPANDIKIZWA MPAKA MIOYONI MWETU NA WANAOTUONGOZA!!!!!!!!!

HE HAS TAUGHT US A LESSON.

LET'S LEARN FROM KENYA, FROM CONSTITUTION TO PARTIES IDEOLOGIES.
 
Uvumilivu wa Magufuli uko kwenye nini? Rais anayeogopa hadi katuni eti naye ni mvumivu?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kenya's President Kenyatta at ICC in The Hague

Kenya's President, Uhuru Kenyatta, has become the first sitting head of state to appear before the International Criminal Court in The Hague.

President Kenyatta is facing charges of crimes against humanity over his role in the violence that followed the 2007 elections in Kenya.

He says the charges against him are politically motivated and insists that the case should be thrown out.

Anna Holligan reports.

LINK>>> Kenya's president appears at ICC
 
Barbarosa Huo ndio ukweli wake na mtizamo wake,ulitaka awe mnafiki kwa kisingizio cha uzalendo. Aache kusema ukweli kwa jinsi utafiti(usio rasmi) unavyomuongoza na asifie asichokiamini(hypocrisy). Huo utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Huo ndio ukweli wake na mtizamo wake,he ulitaka awe mnafiki kwa kisingizio cha uzalendo. Aache kusema ukweli kwa jinsi utafiti(usio rasmi) unavyomuongoza na asifie asichokiamini(hypocrisy). Huo utakuwa ni ujinga wa kiwango cha lami(in Sizonje's voice).

Mwanaume wa kweli hakimbii matatizo never, never, ukiona Mwanaume anatamani cha mwenzie na kuponda chake huyo hawezi kuendesha familia amini nakwambia?

Huyo ni kama Henri Kilewo analipiwa mpaka nauli ya daladala, lkn mdomo umejaa maneno yasiyo na vitendo!

Mwanaume anajenga kwake, habomoi!
 
Kukosoa ndio kujenga namba moja kwa taarifa yako.Mtu anajirekebisha vipi asipokosolewa?Mfumo(system) unaotuongoza kama tusipoukosoa sisi je linatakiwa liwe ni jukumu la nani kufanya hivyo? Unafiki haujengi bali unabomoa.
 
Alichofanya Raila ni uhaini na ni upuuuzi kutoshughulikiwa. Sio Jambo la kusifia

KTN imerudi hewani baada ya kufungiwa kutorusha matangazo mubashara jana? Sijui uvumilivu gani unaoongelea hapa
 
Asante Puncler. Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka.
Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake.

Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU ameona anayetaka kuirudisha Kenya ICC.

Rwanda baada ya genocide hakuna mahali democrasia ingeweza kufanya kazi. Donda hili hupona pole pole na mpaka Mh Paul Kagame atakapomwachia MTU mwingine ambaye hakuwa sehemu ya mwaathirika was genocide madaraka.

Ni hawa vijana waliozaliwa miaka hii baada ya genocide, haitakuwa Leo.

Uganda walikumbwa na kutoaminiana wakati wakipambana na IDD Amin, mpaka Leo hawataweza kuaminiana kwani waliotofautiana bado wanataka kuwa madarakani.

Kumbukeni vita vya wenyewe Msumbiji na Angola. Ili amani irudi lazima mbabe mmoja afe na anayefuata amalize muda wake.

Tatizo LA south Sudan liko hivyo hivyo, wababe wrote walipigana na North Sudan kwa njia tofauti. Hawakuaminiana, na hawataaminiana baada ya adui yao mkuu kuondoka!!!!
 
Kukosoa ndio kujenga namba moja kwa taarifa yako.Mtu anajirekebisha vipi asipokosolewa?Mfumo(system) unaotuongoza kama tusipoukosoa sisi je linatakiwa liwe ni jukumu la nani kufanya hivyo? Unafiki haujengi bali unabomoa.

Huko siyo kukosoa wanavyofanya chadema bali ni chuki dhidi ya nchi yao waliozaliwa, sasaukiona Mwanaume yuko hivyo ujue kuna tatizo la malezi hakulelewa kuwa Mwanaume snayeweza kujisimamia na mwenye msimamo ndo maana wanakwenda kufwata matukio!

Juzi hapa chadema wote walikuwa upande wa Upinzani Kenya mpaka siku Mbowe alipowaamlia kumfwata Uhuru Kenya nao wote wakafanya hivyo, sasa hakuna uhusiano wowote kukosoa bali ni mapungufu makubwa ya manhood, msome tena alichoandika Joyce Kiria kuhusu Mme wake Henri Kilewo!
 
Tatizo nadhani ni upeo wa uelewa,sio kila anayetoa maoni tofauti na mtizamo wako ana hayo mambo yenu ya vyama japo nadhani nyie mashabiki wa vyama mnafahamiana. I'm just a critic by nature hasa pale ninapoona mambo hayako sawa, popote duniani wakosoaji wa mifumo tawala hawakosekani na ni chachu kwa kuwakumbusha mambo yanayoenda mrama. Si busara kuwa na jazba katika masuala ya kukosoana na kurekebishana.
 
Unaiponda na kuiattack nchi yangu halafu unategemea nikae kimya? Never, sijalelewa hivyo kwetu, mimi ni nimezaliwa hapa TZ kwa sababu, kuna sababu Mungu kanileta hapa hivyo kuiponda na kuitalilisha nchi uliyozaliwa inaonyesha immaturity na kwamba hauwezi kusimama mwenyewe wima kama Mwanaume!

Mwanaume hakimbii matatizo, bali Mwanaume huyakabili matatizo!
 
rudi Mwaka 2008 kilitokea nini?
nani chanzo

Where is Jacob Juma is?
where is James Msando ?
who did it?

hayao machache tu
 
Unaiponda na kuiattack nchi yangu halafu unategemea nikae kimya? Never, sijalelewa hivyo kwetu, mimi ni nimezaliwa hapa TZ kwa sababu, kuna sababu Mungu kanileta hapa hivyo kuiponda na kuitalilisha nchi uliyozaliwa inaonyesha immaturity na kwamba hauwezi kusimama mwenyewe wima kama Mwanaume!

Mwanaume hakimbii matatizo, bali Mwanaume huyakabili matatizo!
Immaturity ni kuogopa kukosoa,kama kukosoa unakutafsiri kama kuponda hilo ni tatizo la tafsiri. Let's agree to disagreed on that one. Kosa litabaki kuwa kosa hata lifanywe na mtu wako wa karibu hivyo kumkosoa na kumrekebisha ni wajibu.
 
Back
Top Bottom