KWA NINI NAMWONA MH UHURU KENYATTA NDIYE RAIS MVUMILIVU.

mtupori2010

Member
Sep 13, 2010
22
8
Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka.

1. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake.

Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU ameona anayetaka kuirudisha Kenya ICC.

2. Rwanda baada ya genocide hakuna mahali democrasia ingeweza kufanya kazi.

Donda hili hupona pole pole sana na mpaka Mh Paul Kagame atakapomwachia MTU mwingine ambaye hakuwa sehemu ya mwaathirika wa genocide madaraka.

Ni hawa vijana waliozaliwa miaka hii baada ya genocide, ndio watakaoweza kukaa chini na kukubali kuacha tofauti za babu na baba zao, haitakuwa Leo.

3. Uganda walikumbwa na kutoaminiana wakati wakipambana na IDD Amin, mpaka Leo hawataweza kuaminiana kwani waliotofautiana bado wanataka kuwa madarakani.

4. Tanzania tuna historian ya kupokezana uongozi usioangalia MTU katokea wapi.

Kila rais anayekuja madarakani huwa mpya na kuweka hamasa kwa wananchi kuendelea kumwamini na kuamini NI chaguo lao!!!!!!

5. Kumbukeni vita vya wenyewe Msumbiji na Angola. Ili amani irudi lazima mbabe mmoja afe na anayefuata amalize muda wake.

6. Tatizo LA south Sudan liko hivyo hivyo, wababe wote walipigana na North Sudan kwa njia tofauti.

Hawakuaminiana, na hawataaminiana hata baada ya adui yao mkuu kuondoka!!!!

Lazima vizazi vilivyoanzisha vita hizo viondoke.
 
Mimi utafiti wangu uliangalia pia historian zao walikotoka.

1. Mh Uhuru Kenyatta alisema mashitaka Yale yalitengenezwa na rivals wake.

Akaahidi kama aliyafanya yeye yatajirudia, na kila MTU ameona anayetaka kuirudisha Kenya ICC.

2. Rwanda baada ya genocide hakuna mahali democrasia ingeweza kufanya kazi.

Donda hili hupona pole pole sana na mpaka Mh Paul Kagame atakapomwachia MTU mwingine ambaye hakuwa sehemu ya mwaathirika wa genocide madaraka.

Ni hawa vijana waliozaliwa miaka hii baada ya genocide, ndio watakaoweza kukaa chini na kukubali kuacha tofauti za babu na baba zao, haitakuwa Leo.

3. Uganda walikumbwa na kutoaminiana wakati wakipambana na IDD Amin, mpaka Leo hawataweza kuaminiana kwani waliotofautiana bado wanataka kuwa madarakani.

4. Kumbukeni vita vya wenyewe Msumbiji na Angola. Ili amani irudi lazima mbabe mmoja afe na anayefuata amalize muda wake.

5. Tatizo LA south Sudan liko hivyo hivyo, wababe wote walipigana na North Sudan kwa njia tofauti.

Hawakuaminiana, na hawataaminiana hata baada ya adui yao mkuu kuondoka!!!!

Lazima vizazi vilivyoanzisha vita hizo viondoke.

Leo mpaka utahara kwa kuanzisha Mada na Mada kutaka kulazimisha ujinga wako kwa wengine!
 
Barbarosa Katika wajinga NI we we usiyeweza kusugua nyuzi za fikra kichwani mwako.

KUNA WALIOZALIWA KUWA 'NDIO MZEE" nadhani were NI MMOJA WAO.

TATIZO SIO WEWE NI UFINYU WA UFIKIRI WAKO.

HOJA HAILAZIMISHWI, HUJIBIWA KWA HOJA.

COME UP WITH A CHALLENGE NOT SIMPLE WORDS ILI UONEKANE NA WEWE UMEJIBU!!!!
 
Naona hii unayotimia leo imevunwa ikiwa OK!
 
Back
Top Bottom