Umuhimu wa kuheshimu watu wengine

Umuhimu wa kuheshimu watu wengine

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,864
Reaction score
6,874
*HEBU ANGALIA UMUHIMU WA KUHESHIMU WATU WENGINE*

1. Kuzaliwa kwako kumefanywa na *watu wengine.*

2. Jina lako umepewa na *watu wengine.*

3. Umepata elimu kutoka kwa *watu wengine.*

4. Kipato chako kwa namna fulani kinatoka kwa *watu wengine.*

5. Hata Heshima uliyonayo unapewa na *watu wengine.*

6. Wa kwanza kukuogesha ni *watu wengine.*

7. Wa mwisho kukuogesha pia watakuwa *watu wengine.*

8. Mazishi yako yatasimamiwa na *watu wengine.*

9. Utapelekwa kuzikwa na *watu wengine.*

10. Kila unachokimiliki kitarithiwa na watu wengine.

Sasa kwa nini unakuwa na kiburi,dharau na nyodo dhidi ya watu wengine?

Kumbuka hakuna sehemu yoyote katika maisha yetu isiyohitaji watu wengine.

Ni matumaini yangu ujumbe huu utawarushia na watu wengine.
 
Ila kuheshimu wanaukawa ni dhambi
 
It doesn't matter how rich you are,how many Degree you have,how many gods you have,how many countries you lived, how many years you have,how many people sorounding you...if you don't respect others,ur nothing
 
Back
Top Bottom