Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,028
- 168,645
" Sifa mojawapo kubwa ya chumba cha mtihani ni ukimya na utulivu. Vivyo hivyo, ukiwa katika chumba cha changamoto zako jifunze kutafuta majibu yaliyo ndani yako katika hali ya ukimya na utulivu."
NAFSI ILIYOTULIA HUTATUA!
NAFSI ILIYOTULIA HUTATUA!