UngaUnga
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,724
- 1,471
Ilianza na vitambulisho vya taifa,imekuja laini za simu kielektronic,sasa hata passport za east afrika ni kielectronic! naanza kucconnect dots na ujio wa jasusi mbobezi kagame! kuzimwa uhuru wa kuongea! africa mashariki inakuwa dictatorized! soon!