Wanawake na wanaume pitieni hapa tujifunze kidogo

maforce

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2017
Posts
676
Reaction score
645
Nimeikuta kwenye fb page ya Happy Joseph na ninawaleteeni kama ilivyo
TUNAJIFUNZA NINI? (1- Wanawake)
Kwa asili kabisa toka uumbaji, Mwenyezi MUNGU aligawa majukumu. Mwanaume alipewa MAMLAKA na mwanamke alipewa jukumu la USAIDIZI.

Ukweli mchungu ni kuwa, msaidizi ana Kazi NZITO kuliko. Kwa mfano wa kawaida kabisa, katika ofisi, boss Hana Kazi nzito kulinganisha na wasaidizi Wake. . . . Mara nyingi Kazi nyingi hufanywa na wasaidizi. . . .

Haimaanishi kwamba MUNGU alituonea wanawake, LA hasha! Mwenyezi Mungu alitupa uwezo wa ziada kabisa tofauti na wanaume. Sisi tuna mawazo mapana, tuna uwezo wa kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja, jambo ambalo wenzetu hawajaumbiwa. Mungu anajua kabisa kwamba kwa uwezo aliotujalia, tunaweza kuwaongoza waume wetu na mambo yakawa shwari.

Ndio Maana sisi tumeambiwa tuna uwezo wa kujenga au kubomoa ndoa / nyumba zetu. Hebu fikiri tuna nguvu kiasi gani? Tumejaliwa ushawishi wa maneno, maumbo na sura Za kuvutia. . . Lengo la Mwenyezi Mungu ni kuongeza uwezo wetu wa kutumia vipawa vyetu kuwasaidia waume aliotupa.

Maana yake, waume zetu hawawezi kufanya mambo bila kututegemea sisi wasaidizi. Ikiwa msaidizi ni mvivu wa kufikiri, mvivu wa kushauri, mvivu kujitoa, mvivu kujituma, hakika waume zetu watapotea. Apoteapo mume, ni kosa la mke kama Msaidizi. . . Yaani kama wasaidizi wa bosi wakipotosha taatifa, bosi anaonekana mbulula wa hatari. . . .

Mume anajengwa na mke. Aibu Ya Mume ni Aibu Ya mke. Udhaifu wa Mume ni udhaifu wa mke. Ujinga wa Mume ni ujinga wa mke. . . Ficha ujinga wako, Udhaifu wako, na Aibu yako Kwa kumsaidia mumeo. . Jisikie mwenye nafasi kubwa Ya kumbadilisha mumeo. Mwombe Mwenyezi Mungu akupe neema Ya kutenda yote. Omba Mungu akupe KIBALI machoni pa mumeo.

Kibali ni jambo la msingi sana. Kumbuka sala zilimfanya Esta apate kibali machoni pa mfalme. Ukikosa Kibali Mume hatakusikiliza. Ukikosa Kibali hutapata ujasiri wa kumsaidia mumeo. Kibali kitakufanya uonekane Una busara machoni pa Mume wako.

Mpendwa mjukuu wa kike, Usisahau kumwombea Mume wako. Kwa sababu wasaidizi ni wengi. . . Nawe usipoomba kwa Mungu Kibali, wengine watakusaidia Kazi Ya usaidizi. . . .

Mume akikupa nafasi Ya kumsaidia, kwa Maana Ya kwamba ukipata Kibali machoni pa mumeo Usisahau kuomba Neema Ya Mungu Ili ulimi wako uwe na maneno Ya baraka na Sio. Karaha. Ukifanikiwa haya, hakika utaifurahia ndoa yako.

Pia, waume zetu wanapotambua na kuthamini vipaji vyetu, kwa mamlaka waliyopewa wakatupa ruhusa Ya kuvitumia, baadaye tusijisahau tukavitumia kama fimbo Ya kuwachapia. Mfano, umepewa nafasi Ya kujiendeleza kimasomo, au umepewa nafasi Ya kumiliki biashara yako au kufanya jambo lolote upendalo, Usisahau kuwa mwenye mamlaka ni mumeo. Mthamini, mpende, msaidie, mkirimu katika Hali zote. . . usijiinue, usijione mshindi, usiitamani nafasi yake aliyopewa Ya MAMLAKA. . . Daima ukumbuke Wewe ni MSAIDIZI.

Nawapenda sana.
[emoji767] BIBI HAPPY J
#UKIIPENDA_SHARE
 
Ahsante sana mama na bibi,Mungu Akusimamie,watu kumi kamanyinyi mambo yangekuwa poa sana
 
washa kusikia wa usika ila nasema ivi tamaa ni sumu ya yote uya nenayo,tamaa uvunja kila kitu na kua ndo mshindi kwenye jambo lolote la kheri,tamaa umfanya mtu akajiona kama ana tumika ovyo na kumfanya mtu kuona mda wake umezamaa ovyoo-kabla atuja fikia huko tuanze kupata dawa ya tamaa-
 
Hongera! Wewe ni kati ya wachache wanaojitambua. Umenena ya kweli. Andiko lako,naliprint sasa hivi,nimpe msaidizi alisome japo hayuko mbali sana kimtizamo.
 
Back
Top Bottom