Dini na mahusiano

Dini na mahusiano

Smartminder

New Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
3
Reaction score
0
Habari wanajamii. Leo naomba kueleweshwa juu ya jambo moja. je kuna uhusiano wowote kati ya dini na mahusiano? nikiwa na maana kuwa je nikitaka kuoa ni lazima tuwe dini moja na mpenzi wangu?
 
Si lazima lakini ukijichanganya kuoa wa imani tofauti lazima mtasumbuana mbele ya safari. Uzoefu upo ni kwa sababu ya mazingira mliyokulia. Na pressure za pande mbili lazima zikusumbue
 
Sio lazima, ila tatizo linakuwaga kwa ndugu na sio wahusika wakuu. Pia kama mmoja hatomfuata mwingine upande wake, watoto mpange kabisa inakuaje!!
Mnaweza nyie mkaona ni sawa ila mkakumbana na vigingi vya ndugu, wakawamwagia "sumu" mkachukiana wenyewe.
 
hapo nimekusoma
 
Back
Top Bottom