Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,516
Kweli sisi Waafrika ni Wajinga Kweli Kweli, nasisitiza sisi ni Wajinga, Au Unabisha ?
Hivi Juzi nimeona Video Moja jinsi Watu wa Libya wanavyowatesa Waafrika wenzao mateso ya Kinyama Yaani nilishindwa kumalizia kuangalia Video ile maana inatisha. Tukiacha Libya ambako ni mbali kidogo kutoka hapa kwetu Bongo, Hebu nenda Msumbiji uone jinsi Watanzania wenzetu wanavyodhurumiwa Kikatili, Wanasahau kuwa Sisi Watanzania tuliwasaidia Kutafuta Uhuru kutoka kwa Mreno, R.I.P Baba wa Taifa, Lkn leo hii hao Washenzi wanatufanyia hivyo sisi ndugu zao ?
Kweli Afrika jinga sana. Umeshawahi sikia Wazungu wakifanyiana Unyama wao kwa wao Km umeshawahi ona hivyo leta Ushahidi wako hapa. Jamani Waafrika Tupendane sisi ni Wamoja. Nimemkumbuka Bob Marley na Wimbo wake wa Africa Unite.