ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Ni baada ya kasi yenye kasi zaidi ya usain bolt ya awamu ya tano inayotetea wanyonge kuwaumbua majizi hayo ya songea
Jana taarifa ya habari ya ITV iliyaonyesha majizi hayo yanayojiita wakulima wa tangawizi kulalamika eti zamani walikuwa wanauza hadi sh 4000 per kilo lakini kwa sasa ni 700 hadi 500
Majizi hayo mapiga deal yakaituhumu serikali hii tukufu yenye baraka zote za mwenyezi Mungu eti taasisi yake ya TRA imepandisha kodi na kubughusdhi kwa wanunuzi toka nje hivyo wamesusa kuja kununua
Naomba wananchi muyapuuze majizi hayo tena mavibaraka ya mabepari yaliyozoea kuishi kwa dili
hapa kazi tu wapiga deal lazima mlalamike,wasiopiga deal mbona hawalalamiki?