Kwa hizi sikukuu malalamiko ya kuwa pesa hamna me nabisha nilikuwa pale moshi foleni ilivyokamata moshi mjini sheli zimejaa foleni. Barabarani foleni tupu wakati narudi magari yamejaa watoto.....harafu tunasema hela hamna. Ukiwa huna hela ni wewe tu. Kama mtz anatoa gari dar to kagera harafu watz tunalalama tunamuonea mungu