1.Unafungiwa kwenye chumba chako kizuri hotelini ila hutakiwi kuongea na mtu yoyote kwa miezi 6,uko tu mwenyewe na muziki na video za ngono na unaletewa chakula unachotaka wewe chochote kile kwa...
Unajikuta umezaliwa unaitwa rashidi, utajiita hivo labda uweke swaga na kujiita chidi ila ni mle mle utaitwa chiku, kuna watu wanaitwa zawadi, Masumbuko, Jumanne, etc
Kila aina ya jina utakalo...
Tumeshalalamika vya kutosha, lakini je tumewahi kupendekeza suluhu ya matatizo haya? Tumewahi kupigia kelele juu ya strategies gani zinazopaswa kutumika kutatua shida hizi Tanzania.
Tusilalamike...
Na Jawadu Kinyobwa
Tanzania imezidi kujiimarisha kama kitovu cha mafunzo utawala bora barani Afrika baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe...
Wafanyakazi wa umma walihongwa sana katika awamu zilizopita. Ikafika kipindi wanaomba ongezeko kwa shemeji yao na kiukweli aliwapenda na kuwasikiliza.
Mfano msemo wao maarufu wa "SHEMEJI...
Kuna jamaa yangu stori yake inasikitisha kidogo, he's in his late 30's now. Hana familia, hana maisha. Sadly mwaka Jana ndo kaamua kutoka nyumbani. Ila nimekaa kungalia stori yake ni bro wa kitaa...
Habari.
Kùna changamoto ya maji kata ya Kivule mtaa CCM hapa, wiki sasa imeisha maji hayatoki. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa.
DAWASA hawashughulikii kabisa. Watu walichangishwa hela buku...
Nimekuwa nikitembelea Soko la Ilala Boma kununua bidhaa za ndani kwa ajili biashara ya genge, sasa ni takribani miaka minne imepita. Kusema ukweli, soko hilo lipo katika hali mbaya licha ya...
Elon Musk amezindua X-Chat mpinzani mpya wa WhatsApp.
Hivi ndivyo unapaswa kujua:
Huitaji Namba ya Simu, unaweza kutumia akaunti yako ya X (Twitter) tu kuanza ku-chat.
Ina Encryptionya hali ya...
Kilio cha wanyonge sisi Wakazi wa Kihonda Yespa, Manispaa ya Morogoro nyuma ya tuta la mwendokasi, tunaomba maafisa ardhi waje kutatua migogoro mikubwa huku mtaani kwetu, kuna kiongozi anasema...
Kilio Kisichoonekana Afya ya Akili ya Vijana wa Kiume
Katika dunia ya leo, kuna kilio kikubwa kinachotokea kila siku… lakini hakuna anayekisikia Ni kilio cha vijana wa kiume.
Kijana wa kiume...
Pale Central Police Station ni kwamba hakuna accountability and transparency yaani hakuna uwajibikaji na uwazi kwa baadhi ya Maafisa Polisi wa pale.
Mtu unapeleka kesi ya mtuhumiwa pale na...
Kumekuwa na kawaida ya eneo la Msata kuelekea Kituo cha Afya kukosa maji mara kwa mara, tunapowapa taarifa ya kupasuka kwa bomba wanafunga maji hadi siku tatu tukiwauliza wanasema hawana hela ya...
Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari...
Kuna kitu kinaniwazisha, kama CCM wanachaguana wao kwa wao kwenye uchaguzi na kujipa kura kibabe it means wanachaguana watu wanaoendana akili
Na sasahivi viongozi wengi CCM wanafanana tabia
So...
Uzi na Mr Attorney
Fanya uchunguzi wa Train za kuja Dar Ijumaa na Jumamosi.
Utagundua Manzi za Dodoma huwa wanafuraha saana, snapchat, instagram na Tiktok kwa wingi…
Ila Train za Jumapili...
sijui kama mnajua maana ya subscription nyie majamaa biashara yoyote haiwezi fanya ujinga kama huo umepewa options quality na durability ya option lazima iendane na hela huwezi weka kifurushi cha...
Maumivu ni nini?
Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s...
Mke wangu ni mjamzito, leo kwa hiari yangu nikaamua kumpeleka kwenye huduma za klinik kwa mara ya kwanza, na ratiba ya klinik kwa wajawazito wa mara ya kwanza huwa ni ijumaa, nimefika pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.