Wakuu mulewapanga!
Nilimsikiliza waziri wetu wa Wizara ya Habari Sanaa Michezo na Utamaduni, Mh Paul Christian Makonda akielezea kuhusu baadhi ya taarifa au habari kuwa ni za ukakasi kwa jamii...
Hii ni Wilayani Mubende nchini Uganda. Pastor Kwanza kachezea Mbunye na Filimbi ndogo kisha aliporidhika kaamua kuibuka na Vuzi refu hilo kama Ushuhuda tukuka.
Habari wana jf, kuna tatizo kubwa hasa kwa mitandao ya simu usipo tumia line yako ya simu kwa muda flan anapewa mtu mwingne Kwa sababu namba yako ya simu si namba tu tena.
Imeunganishwa na...
Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Rudewa iliyopo Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro aliyefahamika kwa jina la Athuman Salum (16) amefariki Dunia baada ya kuliwa na mamba katika Mto...
Wafu kufufuliwa au kutofufuliwa kulingana na maandiko
Katika kitabu cha Ayubu 14:12 tunasoma kuwa wafu hawafufuliwi. Katika kitabu cha 1Wakorintho 15:51 tunaona biblia inasema wafu watafufuliwa...
SIGIL YA MAMMON; FUNGUA NJIA YA MAFANIKIO NA UTAJIRI KWA KUTUMIA SIGIL YA MARMON.
Najua wengi wetu tunapenda Pesa na mafanikio, Tunapenda kumiliki mali (Material gain) basi katika pita pita...
Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo
Naomba tuambiane
Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake
Kioo kwishnaaa
Winoo. Hioo
Samsung a03
Sijui sh ngapi...
ANGALIZO
Baada ya Kuugua sana Wiki iliyopita hali iliyopelekea Kulazwa Hospitalini na kurudi Kwake Mabwepande, hatimaye Chawa wa Rais Samia, Mzee Butiku kaamua kukimbilia nchini Uganda kwa Rafiki...
ecg
Mtandao wa jamii forums ambao uliachiwa Toka mwaka 2006, imekua ni mtandao wa kipekee unaokutanisha vijana kujadili mambo mbalimbali kuhusu Teknolojia, Siasa, maisha, upendo nk.
Sasa katika...
Hiyo picha ni prompt ambayo unaweza kuitumia, kama upo chuo au una kijana wako anatarajia kwenda chuo. au unatarajia kuwa na kijana ambae atafika chuo.
Actually prompt hii imenisaidia kuweza ki...
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu...
Dodoma, Tanzania
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuandika historia mpya katika sekta ya ardhi kwa kuhakikisha migogoro...
Habari Wandugu
iko Hivi
Kuna binti ni "single mother" amezaa na mdogo wangu (Tayari alikua na mtoto mwingine wa Mwanaume mwingine ana miaka 5), sijui chochote kuhusu huyu mwanaume aliezaa nae...
Kuna mikoa ingepewa hadhi ya kuwa nchi ndogo kama Zanzibar ndani ya Muungano ingekuwa mbali sana.
Je unauona mkoa gani na kwa sababu zipi
Kwa mtazamamo wangu nahisi mikoa hii ingekuwa mbali sana...
Mimi ni mdau wa JamiiForums naishi Zanzibar Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B wadi ya Dimani Mombasa.
Kero yangu ni kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi...
Haya mashirika inatakiwa yaendeshwe na mtu mwenye taaluma hata ya Utawala upande wa IT na sio mwana siasa. Sasa TTCL kwanini nyie kila Jpili mnazima Internet mpaka Jtatu mchana ?
Hii huduma raia...
Ilipaswa mpaka muda huu tuwe tayari tuna watuhumiwa wetu lockup! Watuhumiwa wale familia 12 Tanzania kama wanafunzi wa Kristo aliyezaliwa jana. Jiulize ni kwanini mpaka sasa ziko huru na viongozi...
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo, akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM, amesema Serikali inapaswa kujibu hoja kwa wakati, na pale panapokuwa na upotoshaji, itoe ukweli...
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.