Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 30, 2026, ambapo ametoa ushauri kuhusu Serikali kupitia Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano (TCRA CCC) kuingilia...
Hiyi dunia Kuna watu mnamatatizo kichwani unatangaza unatoa ajira watu tunapambana kwenye kundi la watu 300 wanapatikana 10
Alafu unakuja kwenye salary slip kinasoma kimilion moja unusu
Hivi...
Maji ya Kilimanjaro hayana tena ile taste (ladha) ya miaka 10 iliyopita, mengi ni ya ladha ya chumvi....
Kampuni ya Kilimanjaro waonye waache uzembe... Hali kadhalika Kampuni ya Sequa maji yao ni...
Mnawafahamu humu waimba pambio wa upande ule kama wanahaga haga kama kuku aliekatwa kichwa.
Wamejawa matusi maana hawana facts.
Wamejawa maandishi ya kutunga maana itikadi zao na waliowatuma...
Wafanyakazi kutoka idara tofauti mkoani Geita, wameiomba Serikali kuangalia uwezekano wa kutenga fedha kwaajili ya vifurushi vya Intaneti, ili kuwawezeaha utumaji wa taarifa na madokezo kwa...
Hamjambo wote!
1. Turudi kwenye majukwaa, vilinge na vijiwe vyetu.
2. Matusi tupunguze maana kuacha kabisa kuna watu najua hawataweza.
3. Uzushi, bullying, kejeli, kuvuana nguo tuache.
4...
Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free.
Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up...
BARUA YA WAZI KWA WATU WENYE UMRI KUANZIA MIAKA 40 KUENDELEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nyaraka nyingi ninazoandikaga mara nyingi haziwahusugi ninyi. Ingawaje mmekuwa mkizisoma na...
Ninatumua account ya bank moja ya kiduanzi initwa EXIM. Pembeni ya hiyo nimekuwa nikitumia NBC. Jana nmepata salary na nikaamua kutuma pesa akaunt ya NBC ili nitoe maana sina ATM Card ya EXIM...
Uamuzi wa kutokuchanganya nyumba yako ya kuishi binafsi na nyumba za wapangaji kwenye kiwanja kimoja ni mada yenye mashiko sana kwa wataalamu wa ujenzi na uwekezaji.
Ingawa wengi hufanya hivi...
Kwa sasa nitapunguza Msafara na watumishi watapanda mabus Akafanya sinema moja pale Dodoma akiwa na magari 4 anazunguka ndani ya IKULU maana Ikulu ya cha Chamwino ina eneo kubwa Leo Njombe mambo...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeitaka Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha inamsimamia kwa karibu mkandarasi anayejenga jengo la taaluma katika makao...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wanaosimamia sekta ya elimu kuanzia sasa waanze kujenga shule zitakazokidhi mahitaji ya mtaala mpya wa elimu ifikapo mwaka 2028.
“Tulikuwa na...
Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi...
Sijui ni zimwi.
Sijui ni uraibu.
Nalala na kuwaza wadada wenye makebo makubwa, napenda kuchakata jagina zao, napenda kuchezea genta zao, kutokea kwenye mapaja, nafurahia kuona tila tila zao...
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mawasiliano ameitaka wizara kusimama kidete katika kukabilina na wizi wa mitandaoni.
Oktoba 29 Wizara ya...
Wadau nauliza
Uwingi wa neno chande ni viande au vyande?
Tunaweza kutamka kiande katika huo umoja wa chande?
Kiande au viande Ina maana gani?
Kwa mujibu wa maelezo ya Chatgp AI:
Haya maneno ni...
Hili nijambo la kushangaza lakini ndio ukweli , pamoja na high mortality rate ya Me lakini bado idadi inakaribiana sana , kwa nchi na nchi ukikuta Me wamezidi basi haizidi 2% na ukikuta Ke...
Dar es Salaam – Katika kumbi za mihadhara za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na kote nchini, majina kama Angela Anselim Kiseku na Astrid Mushemba yanang’aa kama alama ya ubora wa elimu ya juu...
Mbali na mvua zinazoendela kunyesha kwa wingi,maeneo mengi ya Dar es Salaam mfano Changanyikeni (Chuo cha Takwimu, maeneo ya Kanisa Katoliki, Jeshini), Sinza na Kimara hayana maji kwa wiki ya pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.